Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,874
atakaejihisi kunyanyapaliwa akachomwe sindano
Haaa kama wamarekani walioko Miami beach sio?
atakaejihisi kunyanyapaliwa akachomwe sindano
Kila MTU ni mzuri kwa jinsi Mungu alivomuumba ukaanze jichoma Choma kisa kumridhisha binadamu mbona mie na flat zangu zijapungukiwa kitu wadada nao wajiamini na miili yao.
Flat screen ndio habari ya mujini... Chezeiya vimodo wewe unabinuka kila style!!
Tena wazungu ndo usiseme flat screen majanga ila Waafrica wengi wamejaliwa mashape sema.wachache ndo flat screen.ila majority wamejaaliwa
Flat screen ndio habari ya mujini... Chezeiya vimodo wewe unabinuka kila style!!
Wacha wee! Umemisiwa na mie
Hahaha hapo agugo tu siwezi kutoa siri ya ndani u know
Ha ha ha. NakaguaNingeshangaa we bazazi usiwe hapa
kikalio kina raha yake bana, hata ukitembea unajihisi kuwa much comfortable.....
![]()
Nilikuwa siamini nilipoona watu aina hiyo hasa wenye flat booty hasa nchi za magharibi hawa wazungu na waspanish, nikalazimika akili yangu ikubali kuwa ndio maumbile waliyojaliwa na Mungu. Unaweza kuwaonea huruma na kuona kama wamepungukiwa na kitu kisicho kawaida. Tumbo, kifua na kichwa vimejaa, lakini ukija kuanzia kiunoni na hadi miguuni utawaonea huruma. Waafrika wengi tumeumbika vizuri jamani. Tujue Mungu hawezi kukujalia vizuri vyote mtu mmoja na ndio hali halisi.
tuwekee picha ya cha uchokozi. hiyo siyo banaaa.
aaaah wapi! ngoja niombe mwongozo kwa ankal Kaizer.