Misemo na Maneno ya zamani

Enzi izo form one anaitwa NJUKA

fa.la anaitwa MDUWAZI

Ticha anaitwa MNOKO

jeans tunaita KIGOZI

Pensi nyanya
 
Demu...manzi.kishtobe
Kuondoka...kujikata
Kutokomea...kuingia mitini
Jeans...dengliz
Kuuchuna...kula ganzi
Snickers...rabamtoni
 
Sketi zenye ngazi ngazi zinaitwa yondo sista.. Aisee Dada aikuwa haendi kuzurula wakati was sikukuu baada ya kulapilau na fanta
 
Wali-ubeche
Makalio makubwa-tukunyema
Kiatu cha mchuchunio-gonga snake
Suruwali-tinabuu
Jeans-dengrees
Brotherman-bitoz
Ukimwi-juliana
Pesa-michuzi,mchicha,michone
Rushwa-mlungula,kagugu
 
shikide,msambwanda, -wo wo wo

mdebwedo,boya,zombi- mtu ambaye hajielewi

kuruka majoka - disco
 
Hahahahaaaaa hiii mada imekuja wakati muafakaa mimi nakumbukaa enzi zanguu. Nakuaaa. 1.kuvaa nguo nzuli.....tunasema umelipukaa au umepiga pamba bling bling. 2. Wazee wakali waliitwa wakuda na wanokoo. 3.watu wenye tabia ya kununa....tuliwaita makauzu 3.vijana wakorofi na tabia za utemi na ugomvi mtaani. tuliwaitaga msela mavi. Au msele nondo. 4.kwenda disco enzi zile tulisema tunaendaa. kujirushaa. Au kuruka kwanjaa. 5.enzi hizo vijana waliokuwa wakiishi masaki, osterbay,mbezi beach, mikocheni,mbezi beach walikuwa wakiitwa watoto wa kishuaaa ushuani. Au. Watoto wa mboga saba kuji seviaaa. 6.enzi hizoo manzese palijulikana kama sowetoo. 7.enzi hizo malaya walikuwa walipatikana mtaa wa ohio,kinondoni makaburini na uwanja wa fisi tuu sasa hivi kila sehemu zote dar kuna malaya. 8.enzi nakumbuka vijana temeke walipaita tmk, magomeni palita migo migo, mabibo paliitwa mabaiboo,tabata palitwa tbt, segerea paliitwa segedance, mburahati palitwa mbura bwaira, gongo la mboto paliitwa goms na mbagala paliitwa mwisho wa dunia,
 
Back
Top Bottom