Ukiona nini huwa unakumbuka nini? Mimi naanza....

Ukiona nini huwa unakumbuka nini? Mimi naanza....

Shin Lim

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
8,361
Reaction score
15,418
Katika maisha ya kila siku, kuna vitu, mtu au jina ukisikia tu, unakumbuka kitu, vitu vingine au watu wengine.
Kwa mfano mimi huwa nikimwona mtu fulani, huwa nakumbuka mwenge wa uhuru na huwa naishia kucheka tu.
Je, wewe huwa unakumbuka nini ukiona nini?
 
Nikiona mkasi namkumbuka doctor Gharib Bila makamu wa rais.
 
Kwa jina lako mkuu la Mkiu, nakumbuka kijiji cha kijamaa cha Mkiu enzi za mwalimu, kijiji hiki kiko mkoani Pwani enzi hizo kilikuwa wilayani Rufiji ila sasa kipo Mkuranga. Ni kijiji ambacho kilikuwa na maendeleo tofaut na vijiji vingine vya kijamaa
 
Last edited by a moderator:
Nikiona maka.lio makubwa yanayotingishika namkumbuka Grace aliyejaaliwa aka giLesi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nikimwona au kumsikia mjane yeyote huwa namkumbuka Chris Lukosi!

Nikimwona tembo namkumbuka Kinana!
 
Nikiona picha ya Zidane namkumbuka Materrazzi alivyopigwa kichwa cha kifuani.
 
Back
Top Bottom