Ukiona nini huwa unakumbuka nini? Mimi naanza....

Ukiona nini huwa unakumbuka nini? Mimi naanza....

Katika maisha ya kila siku, kuna vitu, mtu au jina ukisikia tu, unakumbuka kitu, vitu vingine au watu wengine.
Kwa mfano mimi huwa nikimwona mtu fulani, huwa nakumbuka mwenge wa uhuru na huwa naishia kucheka tu.
Je, wewe huwa unakumbuka nini ukiona nini?

Nikiona masikini hapa Tanzania, mtu anakula mara moja kwa siku na barabara pamoja na miundo mbinu zote hapa nchini kuwa mbovu, mara nyingi uwa nakumbuka laana za CCM.
 
Kwa jina lako mkuu la Mkiu, nakumbuka kijiji cha kijamaa cha Mkiu enzi za mwalimu, kijiji hiki kiko mkoani Pwani enzi hizo kilikuwa wilayani Rufiji ila sasa kipo Mkuranga. Ni kijiji ambacho kilikuwa na maendeleo tofaut na vijiji vingine vya kijamaa

Kuna kijiji kingine kinaitwa Mkiu kipo kule Ludewa Mlangali.
 
Last edited by a moderator:
Katika maisha ya kila siku, kuna vitu, mtu au jina ukisikia tu, unakumbuka kitu, vitu vingine au watu wengine.
Kwa mfano mimi huwa nikimwona mtu fulani, huwa nakumbuka mwenge wa uhuru na huwa naishia kucheka tu.
Je, wewe huwa unakumbuka nini ukiona nini?

dah mimi huwa nikimuona waifu wangu najiskia raha sana
 
Nikiona komenti ya kahtaan JF namkumbuka Osama

nikiona komenti zako nakumbuka wale jamaa walikuwa wanataka kwenda kuhubiri mataifa mbalimbali bila passport kwani nakukumbuka nilikuona umevaa koti la suti refu hadi magotini
 
WE Mkiu Wa Mlangali Unamfahamu Mwalimu Kilalawima?

Ndiyo namfahamu, tena ni ndugu wa damu kabisa, ila sitaji ni nani kwangu kwa sababu natumia fake ID.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom