Nilikuwa na mpenzi wangu kijijini tuliahidiana mengi sana likiwemo kuoana but nilipomaliza chuo na kwa bahati nzuri nikapangiwa kazi kijijin kwao niliyoyakuta sikuamini macho yangu.
Kwanza wakati natoka Dar nikamlipia nauli ili tukutane mjini huku nikiwa na hamu na shauku ya kumuona mpenzi wangu lakini nilishawahi kuambiwa ana jamaa yake mwingine hapo mjini so nlichokifanya ili kujiridhisha kama ni kweli nilmtumia hela apange guest akafanya hvo.
Kisha kunitajia jina la guest na namba ya chumba then ilipofka jioni nikampigia simu na kumtaarifu kuwa siwezi kufika gari limeharibika na nimekosa gari la kuendelea na safari nikamuahidi kuonana nae kesho yake.
Lakin haikuwa kweli nilimdanganya kwani nilikuwa naendelea na safari baada ya taarifa hyo alionesha kusiktaka kidogo kwa kutokufka.kumbe lengo langu ni kutaka kujua je baada ya kunikosa mimi atafanyaje atalala guest peke yake?
Au atampigia huyo jamaa yake wa hapo mjni nikafka mahala guest ilipo na kujionea mwenyew wakifanya yao.iliniuma sana japo sina budi kutafta mwngne wa kuoa ingawa ni kaz ngumu.