NAKUMATT Supermarket yafungua branch Dar

NAKUMATT Supermarket yafungua branch Dar

Nakumatt ni kifupi cha nakuru mattress. Mi kampuni binafsi ya muhindi, alianza na biashara ya magodoro kule nakuru sasa kapanuka na kufungua supermarkets
Uchumi ni public company share zake ziko NSE, sijui majority shareholder ni nani lakini haiwezi kuwa nakumatt sababu sheria za monopoly zinakataza. Ila nakumatt huenda wana shares chache

NAKUMATT NI PRIVATE COMAPY NA UCHUMI NI PUBLIC COMPANY. ILIANZISHWA NA SERILIKALI HALUFU WAKAUZIA WANANCHI HISA.
Our History
history%20%282%29.jpg

On 17th December 1976, Uchumi shareholders-Industrial Commercial & Development Corporation (ICDC), Kenya Wine Agencies Limited (KWAL) and Kenya National Trading Corporation (KNTC) - all Government owned parastatals entered into a management contract with Standa SPA of Italy. Standa, a leading supermarket group with a presence in Europe and vast retail experience was given the task to manage and train Kenyan personnel who would eventually take over the running of the organization. In the 1990's Uchumi spearheaded the hypermarket concept in Kenya.

In early 2000s Uchumi started to experience financial and operational difficulties occasioned by a sub-optimal expansion strategy coupled with weak internal control systems.. As a result, on 31st May 2006, the Board of Directors resolved that the Company ceases operations and on 2nd June 2006, the Debenture Holders placed the Company under receivership. Simultaneously, the Capital Markets Authority (CMA) suspended the Company's listing on the Nairobi Securities Exchange (NSE).
Following a framework agreement between the Government of Kenya, suppliers and debenture holders, the company is revived and commenced operations from 15th July, 2006 under Specialized Receiver Manager (SRM) and interim management.

The management and staff have since worked tirelessly to redeem the company. From a negative bottom line in 2006, the company has reported profits in the last three financial years. The lending banks in turn lifted the company's receivership in 2010 and the company was successfully re-listed in the Nairobi Securities Exchange on 31st May 2011 – exactly five years to the date that it was suspended. The company is indebted in gratitude to the government, lending banks, our suppliers, customers and shareholders for their support and commitment to saving one of Kenya's oldest strongest brands.
 
Nakumat imefunguliwa sawa!
Lakini hawajawa na bidhaa nyingi kama walivyokuwa shoprite, ukweli duka la mlimani city bidhaa ni pungufu sana, pia bei zao ziko juu kuliko ilivyokuwa kabla hawajanunua nakumat.
Kwa ujumla duka limepwaya sana.
 
Hongera yao sana lakini Arusha hawajafungua ila mwezi wa nane wanafungua huko Arusha.
 
Taarifa nilizozipata kutoka kwa rafiki wa karibu ni kwamba NAKUMATT imefungua branch Dar es salaam. Walioko Dar mtujuze hizi taarifa kama zina uhakika.

Nakumatt ni Supermarket moja kubwa sana. Hapa Moshi iliopo ni kubwa sana tu ila natumai wakenya hawatafanya ujinga walioufanya hapa Moshi kwa kutongoza wafanyakazi kama walivyofanya hapa Moshi maana managers ni tofauti kwa sasa.
 
Hili jina inabidi tulizoee,maana linahitaji uangalifu kwenye kulitamka
 
Jana niliingia kwenye supermarket hiyo na kujipatia mahitaji kadhaa. Kwa vile limefunguliwa juzi tu, fremu nyingi bado empty. Lakini zitajaa tu kadiri muda unavyokwenda.

Ninavyolinganisha uchumi supermarket ya pale kwa manji - quality centre na nakumatt, nadhani uchumi wako vizuri zaidi. Labda huko mbele mambo yatabadilika.
 
Nakumatt ni Supermarket moja kubwa sana. Hapa Moshi iliopo ni kubwa sana tu ila natumai wakenya hawatafanya ujinga walioufanya hapa Moshi kwa kutongoza wafanyakazi kama walivyofanya hapa Moshi maana managers ni tofauti kwa sasa.

wafanyakazi lazima watongozwe, wewe vipi? bora tu mtu hambaki, watu wazima wawili wakikubaliana wacha waendelee.
 
Hili jina inabidi tulizoee,maana linahitaji uangalifu kwenye kulitamka
Siyo tu linahitaji uangalifu sana wakati wa kulitamka, bali utashikwa na kigugumizi cha hali ya juu, kama unaishi na mama mkwe wako, na sasa unamuaga kuwa unatoka na binti yake mnaelekea super market ya Naku.........
 
Nakumatt ni Supermarket moja kubwa sana. Hapa Moshi iliopo ni kubwa sana tu ila natumai wakenya hawatafanya ujinga walioufanya hapa Moshi kwa kutongoza wafanyakazi kama walivyofanya hapa Moshi maana managers ni tofauti kwa sasa.
Nadhani hao wakenya wanalazimika kutongoza, kwa kuwa wakisoma tu jina la Supermarket yao Nakumatt, wanapata 'ashiki' ya ku-play kale kamchezo!!
 
Shoprite wa South Africa wameuza duka kwa Nakumatt ya Kenya. Maybe nyanya na apples hazitatoka SA sasa.

Najua kuwa majirani zetu wanapenda ku promote bidhaa zao sana. In this case may be wataangalia local market yetu. Lakini kikubwa ningefurahi zaidi na zaidi km hayo maduka bora yangekuwa 100pc yanamilikiwa na watanganyika.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Siku ikitokea taa za herufi za kwanza na pili haziwaki vilevile herufi TT za mwisho litasomeka
naKUMAtt
Wajitahidi kumentain hizo taa.

We jamaa una insight kali sana. Hapa Arusha kweli jina lao herufi zinawaka taa kila moja pekee. Ndo nimepata picha zikiharibika 'strategically' ni bonge la noma!!
 
Najua kuwa majirani zetu wanapenda ku promote bidhaa zao sana. In this case may be wataangalia local market yetu. Lakini kikubwa ningefurahi zaidi na zaidi km hayo maduka bora yangekuwa 100pc yanamilikiwa na watanganyika.

A few among us wanajaribu kufanya mambo makubwa. Slowly tunaelekea huko. Ona mini supermarkets zilivyoongezeka ndani ya miaka mi5. Kati yazo, kuna wenye mikakati watakaotoboa corporate kama hao Uchumi na Nakumatt. Ila inahitajika maarifa mengi maana yake hao wakubwa huwa wanaua ushindani ili wao watawale muda mrefu.
 
Hivi Dar walifanya matambiko? Huku Arusha walichinja njiwa, wakapasua mayai na vituko kibao kabla hata hawajafungua.
 
Back
Top Bottom