Recent content by Kabathe

  1. K

    naomba msaada wenu madaktari

    Ni vizuri urudi hosp. na utoe hayo maelezo Usipopata ufumbuzi nenda ngazi ya juu zaidi Bcoz this is the second time is better to see a Dr.(Si kila anaefanya kazi hosp ni Dr.)
  2. K

    Exclusive interview: Halima Mdee kuhusu mahusiano yake

    Vipi kwa sasa yuko single au vipi? Hili halikuwekwa wazi. Kadri mwanamke anavyoongeza shule ndivyo anavyo punguza wanaume Tofauti na wanaume, kwani unavyozidi kusoma unaongeza wigo. Naomba any kind of contact; simu/mail adr/..:mimba:
  3. K

    Kupunguza ukali wa gharama za maisha- wawakilishi wetu wamelala

    Tuna tatizo kubwa la viongozi katika nchi hii, hawa tunao wa chagua kuwa wawakilishi wetu bungeni sidhani kama kweli wanatuwakilisha. Kwani yapo matatizo ambayo yako wazi kwa kila mtu lakini wawakilishi wetu wamekaa kimya ama kwa kutojisumbua kufikiria au uwezo wao wakufikiria umefikia hapo...
  4. K

    Ukweli kuhusu vibanda vilivyochomwa moto

    Mtoa hoja ameegemea upande mmoja, upande wa kulaumu na inaonekana ni mbaguzi. Hatakama hawakua na vibali, aihalalishi kuvunja sheria. Hatua ya mwisho ya kudai haki ni kwa MAANDAMANO na si kufanya vurugu na kuwa rudisha wenzanko ktk umasikini. Na kama ni swala la vibali na biashara zingine ambazo...
  5. K

    Ridhiwani Kikwete ang'aka tena

    Siasa bwana, Dr. Slaa na Mch Mtikila walijua dogo hajisumbui kufikiri, walijia atakurupuka tu, kama ilivyo kwa serikali ya mdingi. Kwa sasa asipotinga mahakamani ni thibitisho ya kwamba ni fisadi. Turudi nyuma kidogo, hivi babake HAKUMPA USHAURI!!!!!!
  6. K

    Toa maoni yako juu ya wagombea hawa wa BAVICHA (Chadema) taifa

    Kama kuna mtu anatishia kukihama chama kwa kukosa uongozi basi huyo hafai kabisa na hatakuwa haji ni kwanini yuko chadema. Kwanini ulazimishe watu kwamba wakuchague, swali ni kuwanga sera na historia yako ya utendaji. Ila kwenye siasa kuna mengi, si kila lisemwalo ni la kweli. :israel:
  7. K

    JK amteua Prof. Idriss Bilali Mshoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TIRDO

    Mtoa hoja hakuwa na mtazamo wa udini ila mchangiaji mmoja tu na amekemewa vilivyo nadhani ni kibaraka wa CCM Hapa tunajadili CV na c dini Hakuna mtu anayeweza kuwagawa watanzania kwa kigezo cha UDINI :A S 465:
  8. K

    Msekwa: Yafaa spika kuwa mwanasheria, Spika Makinda asema si lazima

    Sinahakika kama wausika wanapata nafasi ya kutembelea JF! Turudi kwenye topic Kuna umuhimu mkubwa wa spika kuwa na taaluma ya sheria na si sheria tu bali hata PS-PA, kwani pamoja na kwamba bunge linatunga sheria lakini spika ni kiongozi/mtawala ndani ya bunge. Kwa Makinda hana hata sifa...
  9. K

    Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    Kosa ni kosa hatakama ilifanyika miaka mia moja iliyopita, ndo maana tunataka hatua zichukuliwe dhidi ya mafisadi Kuna watoto wa wakulima wengi sana waliokosa nafasi za sekondari kwa majina yao kuuzwa kwa watu wenye mapesa. Hatua za kisheria zichukuliwe kama ni kosa.
  10. K

    Lema awasha moto Igunga

    Tupe more updates Idadi ni kitu muhimu kwani huko ndo kwa mmoja wa mapapa:alien:
  11. K

    CHADEMA, anzisheni TV/Radio Station!

    Wakati umefika wa mabadiliko Je, wewe umechangia nini kuleta mabadiliko? Angalau sisi tunaouwezo wa kupata mawasiliano ya mtandao, Kulingana na tafiti zilizofanyika mwaka jana kipindi cha uchaguzi, njia kuu ya habari/taarifa kuwafikia wananchi ni kwa njia ya radio (By Dr. Kitila Mkumbo). CDM...
  12. K

    Mwandosya naye kaanza kuwachokoza CHADEMA?

    Kwa maoni yangu Ni bora Shitambala alivyoondoka kwani alitukosesha ubunge katika uchaguzi mdogo kwa makusudi mazima and katika uchaguzi mkuu akafanya da same kwa kuongwa na ccm. Nadhani ni kibaraka wa ccm.
  13. K

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    Cha muhimu ni ujumbe umefika Swala la kufuta usemi inakuja baadae
  14. K

    Spika Makinda achezea Kibano - Bungeni Live!

    Kama alidhani ni kazi raisi imekula kwake na wale waliomtuma kukaa kwenye kiti!!!!!! Kutaka Sitta to Makinda.....!!!
  15. K

    Madiwani wa CHADEMA Arusha wasusa ziara ya makamu wa rais

    Huyo jamaa hana huwezo wa kuwa Mk Kazi inayo mfaa ni kuwa mgeni rasmi gradu za chekechea nk so kwa sasa hakuna gradu, htafanya nini?
Back
Top Bottom