Recent content by Justine kimbunga

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Shekh Nassor Bachu amefariki!

    bwna ametoa na bw ametwa roho ya marehemu ilazwe mahali pema peponi.amina
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wahisani wamegoma kutoa misaada

    Tanzania ni nchi iliyojitosheleza ni aibu kuona nchi hi inategemea wahisani.ebu tujitahidi kutumia lasilimali zetu kama ardhi,gesi,mafuta na misitu ktk kuendesha nchi yetu tukianza na mradi nafuu hadi ghari taratibu kwani hata MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA
  3. J

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    bw.ndungai anasadikiwa kuwa na matatizo ya akili kutokana na majibu yake mabovu yasiyo na ushawishi wa kifikra.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbwa wanatuharibia tabia watoto wetu jamani!!!!!!!!

    kupiga panga 2
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wanaoishi Masaki Vs Manzese, Mbagala n.k

    baba nani ucxhau kuja na utumbo wa kuku
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mlinzi kipofu

    kwli bure aghr mchz katolewa silld xaxa
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mfalme

    Mchz nux
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kidume cha mbegu na ndoa ya wake watatu kwa mpigo:-

    kaka nomaaa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tutafakari kabla ya kuandika tangazo

    Teh teh teh
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zawadi kwa mama

    nothing more than respecting her
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    hapo ndipo tutakapoona hasara za kuwa na mawaziri ambao akili zao zimeexpire. BABA WA TAIFA MWENYEWE ALISHAXEMA UDINI NA UKABILA NI WAPINZANI WA AMANI NA MAENDELEO KTK NCHI.Kwa nn yeye anaendelea kuukumbatia udini na kuendlea kugawanya nchi ktk vpnde vya dini ivyo
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete Sikiliza.... mawazo, mashauri, maoni, na manung'uniko kwa utawala wa CCM

    nn wasiwasi kuwa we2 n 1 kati ya watu wanaofaidi vipande vikubwa vya nchi hi kuliko haki yao na kuwanyima kabisa wananchi wengine hasa waliopo vijijini
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete Sikiliza.... mawazo, mashauri, maoni, na manung'uniko kwa utawala wa CCM

    You are right na kama yeye ameshindwa kujirekebisha bas wananchi tuanze kumrekebisha ktk katiba na badae wenzake ktk uchaguy wa 2015
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya Mwana-Mtwara

    hao jama wanachosha ndugu.picha wanayoleta hapo n kwamba wameshndwa kazi waliyopewa.kwa iyo wananchi kazi kwenu 2015.tshirt,kofia,kanga,chumvi na elfu tatu za mwaka 2010 vimeisha ila maisha bado magumu tufumbuke wtz
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mafisadi na hatma ya Tanzania

Back
Top Bottom