Mbwa wanatuharibia tabia watoto wetu jamani!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbwa wanatuharibia tabia watoto wetu jamani!!!!!!!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ndyoko, Dec 30, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Yaani tabia zao kama watu, hasa kipindi hiki cha
  mvua na ubaridi utakuta wanarandaranda mitaani
  wakifukuzana mitaani na kufanya vitendo
  vya kuongeza uzao wao.

  Utakuta wanatoka kwa wanaowafuga
  wanakuja kufanya ujinga wao kwa wasiowafuga.

  Hebu tushauriane tuwafanyaje hawa 'wadudu'
  wakome hako katabia kao mbele ya wanetu
  wadogo tena malaika wasiojua A wala B ya hii maneno.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  akipita kitaani kwako mpige nondo
   
 3. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  waambie watoto waingie ndani wataliwa na mbwa
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Watoto wa kizazi cha dot.com hiki, kizazi kinachosikia ufisadi kila uchao na kisichojua nani mwenye kauli ya mwisho serikalini hiki kizazi hiki............sidhani
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  fukuza ukiwaona maana mbwa ni malaya sana wanapenda sana ngono halafu maskini yule jike huwa anaona aibu kinoma yaani anakuwa mpole sana
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Basi bwana tulipokuwa wadogo,mbwa dume na jike walikuja mbele yetu huku wamenatana.Mwenzetu mmoja aka-suggest tuwatenganishe kwa kupiga shaft ya dume kwa ukuni.Hili wazo lilipingwa vikali sana na mwenzetu mmoja ambae yule mbwa dume alikuwa ni wao akidai kwamba kwa kufanya hivyo mbwa dume ataumia shaft yake.Final solution ikawa zitumike kuni mbili,ukuni mmoja upige kiuno cha jike na mwingine kiuno cha dume.Hii mbinu ilifanikiwa kwani walijichomoa kwa nguvu zote na kila mbwa akashika njia yake huku wakiacha matone ya damu nyuma.
   
 7. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Huyo jike alikua bikra maana mpaka damu
   
 8. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 740
  Trophy Points: 280
  Yaweza kuwa kweli.
   
 9. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Wewe Jaguar unajisifia ukatili muliyowafanyia hao wanyama, hasara na dhambi iliyoje!
   
 10. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #10
  Dec 30, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Huu ni unyama wa hali ya Juu sana.. Ile flap ya mbwa inaweza isirudi ndani kwenye kifuko chake tena, na kusababisha mainzi kukivinjari, afu then kidonda na mbwa hufa kwenye maumivu makali sana. wataalam wa mifugo wanasema Lile fundo la mbwa Dume ni kama mfumo wa pira gumu ambalo hunatia kwenye uke kama ball joint za gari. sasa ukitenganisha kwa Nguvu unaweza kuua mishipa yake na lile konzi lisirudi kwenye kifuko chake.. aisee ni unyama wa hali ya juu. please stop it kwa generation yako.
   
 11. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  I'm sorry but kwa umri ule hiyo ndo ilikuwa solution yetu.
   
 12. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  That was when i was in standard 4 with childish mind!
   
 13. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mmh yan unachopost ukiadd na uo uso wako lol tabasamu toosha.
   
 14. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #14
  Dec 31, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jf is never boring
  source:the boss
   
 15. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #15
  Dec 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  I don't support or promote animal violence..
   
 16. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Ajiri house girl kutoka Iringa, mbwa akisikia tu harufu ya Mnyalu hakatishi kabisa anga hizo
   
 17. J

  Justine kimbunga Member

  #17
  Feb 6, 2013
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kupiga panga 2
   
 18. b

  bokeye Member

  #18
  Feb 7, 2013
  Joined: Feb 7, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  halafu kumbe dume linapanda kama mbuz halafu inavusha mguu mmoja!
   
 19. b

  bokeye Member

  #19
  Feb 7, 2013
  Joined: Feb 7, 2013
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  j aliwhalibia starehe bana mbona ww ukiwa na demu ako hs mambo fln nan anaekubugudhi?
   
Loading...