Zawadi kwa mama

Zawadi kwa mama

My best gift to my mother is misos,,, nikitaka kwenda home nachofanya ni kuamka asubuh kwenda feri na hata ka 50,000 nasomba zangu samaki wa kiaina then kwenye buti huyo home...

Nikifika tu natoa bonge la tabasamu anajua mvuvi nimeshafika he he he...

I feel bad to see my mother sad..

Zawadi nyingine ni ndogo ngogo tu DVD za kwaya ukiziona kwenye mataa kama mama yako mtu wa hizo vitu,,, vitenge etc kumfanya yeye afurahi

Duh,samaki wa 50,000 he he,hiyo ni balaa si ata nenepeana sasa
afu iwe balaa.
 
Sasa home si kuna familia.. Kwani anakula peke yake? B mkubwa anapenda samaki mbaya so ukimpelekea samaki yaani umemuweza, anafurahi mbaya..

Yaani hapa ananichanganya swala la vingamuzi maana toka vimezimwa hana amani ndo nawaza nitoke vipi maana dstv yeye sio mpenzi japokuwa tunamlipia premium kwa kuchanga with my sisters to show some love to her lakini analalamika,,, anachotaka television za dini zote ziwepo kuanzia za kiswahili zote hadi za kizungu sasa ndo naumiza kichwa kingamuzi gani kitakuwa na dini zote... Nikilitatua hili tatizo will be a best gift to her...

Wakati nipo mdogo primary alitununuliaga playstation 1 siku hiyo tulifurahi na kutoa bonge la tabasamu hajawai kuliona maishani mwetu sasa anatukumbusha huku anacheka na hili tumuweze na sisi lazima tufanye kitu na yeye atabasamu na kufurahi kuliko siku zote maishani ndo sijajua nitoke vipi..
( Mzee wangu alishaondoka dunian na mimi ndo faraja yake as a son so lazima nimfanye afurah)
 
Jitahidi umnunulie atafurahi sana na utazidi kupata baraka, viko vingi Kuna Star times, zuku, na vingine vingi nenda sehemu hizo kalinganishe ubora , halafu chagua kimoja haraka upeleke.
 
kwa kweli Mimi , kwa upande wangu zawadi kubwa kwa mama yangu ni uwepo wangu, anapenda sana niwe naenda mara kwa mara kwake na kushinda pale home, nimpikie, nimfulie , basi anasikia rahaaa sana, Kumpa zawadi zingine kama vitenge na khanga ni lazima , maana mimi naona kama unampa asante ya kukuzaa na kukulea kwa kipindi chote ulichokuwa mdogo mpk sasa umekuwa na akili timamu. TUWAPENDE WAKINA MAMA ZETU MAANA WAMEPATA SHIDA NASI MPK KUFIKIA KUTAMBUA BAYA NA ZURI .I LOVE U MUMY
 
Hayupo kama mama na hata kaa atokee kama mama, RIP my mummy, japo haupo bado ninakupenda na kukuthamini, sijapata upendo kama wako kutoka kwa mtu yeyote yule and from my heart I miss you so much my mama and always I'll be missing you.
Ulivipiga vita vizuri, mwendo ukaumaliza na imani uliilinda. Mungu akupe pumziko la amani! Amen.......
 
Mama nani kama mama, zawadi kama zawadi tangible thing to me hakuna yenye kuweza kumlipa mama au kuuthamini mchango wake ktk maisha ya yangu. Nampenda, namshukuru kwa kila jambo na namwomba Mungu ajamlie maisha marefu.

Natoa rai kwa kina baba(wanaume) wasiwasahau mama zao.. Coz wengi huwa wanawasahau wakishakuwa na familia zao.

Pia kwa kina mama (wadada/wanawake) ukiolewa usimfanye mumeo asahau wazazi wake au mama yake .. Mshawishi mkumbushe kumkumbuka mama yake na (wazazi kwa ujumla) coz pasipo wao hata mume usingepata.

Nawasilisha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Speaker sikuelewa thread... Kumbe unataka zawadi ya mama? How much are you willing to spend na is it a speacial occasion or ni zawadi tu?
 
Last edited by a moderator:
SPEAKER WEWE NI MDAU WA FoF nini? msalimie mc pilipili

he he,zimefika hizo.
Nawe ni mdau pia?
Naipenda sana hii kitu,bonge la idea,pongezi ziende kwa waanzilishi
wote akiongozwa na Sasali.
 
kwa kweli Mimi , kwa upande wangu zawadi kubwa kwa mama yangu ni uwepo wangu, anapenda sana niwe naenda mara kwa mara kwake na kushinda pale home, nimpikie, nimfulie , basi anasikia rahaaa sana, Kumpa zawadi zingine kama vitenge na khanga ni lazima , maana mimi naona kama unampa asante ya kukuzaa na kukulea kwa kipindi chote ulichokuwa mdogo mpk sasa umekuwa na akili timamu. TUWAPENDE WAKINA MAMA ZETU MAANA WAMEPATA SHIDA NASI MPK KUFIKIA KUTAMBUA BAYA NA ZURI .I LOVE U MUMY

Wow,safi sana,nimeipenda sana hiyo.
 
Hayupo kama mama na hata kaa atokee kama mama, RIP my mummy, japo haupo bado ninakupenda na kukuthamini, sijapata upendo kama wako kutoka kwa mtu yeyote yule and from my heart I miss you so much my mama and always I'll be missing you.
Ulivipiga vita vizuri, mwendo ukaumaliza na imani uliilinda. Mungu akupe pumziko la amani! Amen.......

Aaaaamen.
 
Mama nani kama mama, zawadi kama zawadi tangible thing to me hakuna yenye kuweza kumlipa mama au kuuthamini mchango wake ktk maisha ya yangu. Nampenda, namshukuru kwa kila jambo na namwomba Mungu ajamlie maisha marefu.

Natoa rai kwa kina baba(wanaume) wasiwasahau mama zao.. Coz wengi huwa wanawasahau wakishakuwa na familia zao.

Pia kwa kina mama (wadada/wanawake) ukiolewa usimfanye mumeo asahau wazazi wake au mama yake .. Mshawishi mkumbushe kumkumbuka mama yake na (wazazi kwa ujumla) coz pasipo wao hata mume usingepata.

Nawasilisha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ni kweli kabisa unayo sema.
 
Speaker sikuelewa thread... Kumbe unataka zawadi ya mama? How much are you willing to spend na is it a speacial occasion or ni zawadi tu?

He he,ndo maana kabla nilikuita kwenye thread,kumbe hukuelewa?

Okey,kwa sasa nilitaka zawadi ya kawaida tu,so niliamua kumfanyia ki-sapraiz flani.
Alinambia nimfanyie booking from Dar-(Somewhere abroad).

So tiketi,pamoja na Hotel booking nilifanya,alipotaka kuni-refund nilikataa,so nikamwambia
ni zawadi kwake,you can't imagine how happy she was,nilifurahi kumpa tabasamu.

kwa sasa nafikiria zawadi ya siku yake ya kuzaliwa (12th April),sijajua ipi bado.
Bado nakusanya ma-idea.
 
Last edited by a moderator:
he he,zimefika hizo.
Nawe ni mdau pia?
Naipenda sana hii kitu,bonge la idea,pongezi ziende kwa waanzilishi
wote akiongozwa na Sasali.
sam ni mtu poa sana ni mtu wangu sana tutafutane ni kuexpose basi
 
He he he,utaniambia unakaa meza gani Ijumaa sawa eh.
Yuko fresh sana fupi yule.
 
Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?

Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?

Shopping uwii kuanzia head to toe kila mwezi lazima Sanduku la nguo na kuha kikisha she is happy na watu wote wawe na wivu Kama ana mtoto wa kike.na kuhakikisha anafanya check up every year hapa USA ( yale hospital )
 
Ningependa kufahamu,ni zawadi gani "ya kwanza" uliyo wahi
kumpatia mzazi wako wa kike (mama)?

Au kama hujawahi,unadhani ipi ni zawadi bora kabisa kwa mama?
Mnunulie washer and dryer .aache kufua
 
Back
Top Bottom