Nani anaangamia halmashauri?au wewe ni mhasibu?bora wasilete kabisa hao wahisani kwani hata zikiletwa matumizi yake ni warsha,makongamano,seminar,workshop,posho ya safari na mengine kana hayo yasiyo na tija!Pesa hizi hizi zinawafanya muwe miungu watu huko halmashauri.Wafadhili safi sana!wewe endelea kupiga porojo huku tukiangamia!halmashauri zinasuffer na hakuna wa kuwasemea.hiki ni kifo cha ccm
ni mazoea yao kuficha ukweli!miradi mbalimbali ya halmashauri imekwama kwa kuwa fedha hazijaletwa kwa wakati.nitoe mfano,fedha ya health busket fund imeletwa halmashauri kwa quarter moja tu na sasa tuko quarter ya tatu!unategemea mipango ya halmashauri itatekelezwa kama ilivyopangwa?kwa nini serikali isikiri hili waziwazi?
chanzo ni matangazo kupitia TBC yanayosema ''KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"
Ni vyema ikaelezwa wazi kuwa fedha haziletwi kwa kuwa zinaliwa.Nani anaangamia halmashauri?au wewe ni mhasibu?bora wasilete kabisa hao wahisani kwani hata zikiletwa matumizi yake ni warsha,makongamano,seminar,workshop,posho ya safari na mengine kana hayo yasiyo na tija!Pesa hizi hizi zinawafanya muwe miungu watu huko halmashauri.Wafadhili safi sana!
Hivi Epica 9 bado inazingua?Sio halmashauri tu hata mawizara yanapumulia mashine. Hakuna mgao unaoleweka ulioletwa. Fedha ni kiduchu sana. Ukiuliza vipi? unaambiwa ni mfumo wa "EPICA 9".
Hivi Epica 9 bado inazingua?