special agent
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 325
- 74
apumzike mahala panapo stairi
anasikia,hata kinyantuzi.
Mtoto si rizki utamjua tu.as usual to muslims
as usual to muslims
Wasifu wa marehemu ameacha wake watatu na watoto15, Mungu amrehemu!!
Asante, tumepoteza Mwanazuoni muhimu sana kwa mawaidha.Poleni
Ndugu zetu msiokuwa wa-Islam, naona mnachukia na kuogopa sana hili jambo, ila mnatoka nje ya ndoa na mnatarajia malipo siku ya mwisho! Tumehalalishiwa mke zaidi ya mmoja, katika kitabu chenu mnachokiamini sijaona sehemu mlipoharamishiwa mke zaidi ya mmoja, kama ipo naombeni, mitume wengi na watu wema mnaowaamini walioa zaidi ya mke mmoja, sasa mmekatazwa na kitabu kipi wenzetu? Kuoa mke zaidi ya mmoja siyo sheria/lazima, ila kuepuka zinaa ni ruksa kuoa tena kwa sharti la kama utaweza kuishi nao kwa uadilifu. Na Mwenyez Mungu anajua zaidi.
anasikia,hata kinyantuzi.