Mtoto wa mfalme

sony wega

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
234
35
Habari wakuu , siku moja mfalme aliwaalika wanakijiji kuja kwake kwa ajili yakuwapa changamoto ili aweze kumwoza mtu atakaye vuka bwawa la mamba mpaka upande wa pili na kumpa bint yake kipenzi , mara mfalme akaskia pwaaa! Jamaa kaongelea mpaka upande wa pili basi mfalme akipiga makofi nakumwambia hongera sana sasa nakuzawadia bint yangu basi yule jamaa akasema sitaki bint yako wala nn qumamae namtaka ****** aliye nisukuma!!!
 
haaa haaa haaa..!
 
Back
Top Bottom