Recent content by jumamaulid

  1. J

    JamiiForums Tanzania Soko la embe dodo

    Peleka kwa tajiri wa kitz bakhresa. Zinafa sana Kwa juic hz dodo!
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ni mke wa aina gani?

    Huyo mke kabila gani?
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpangaji mwenzangu ni mtu mbaya

    Ndiyo faida ya mtu malaya! Mpeleke mpangaji mahakamani.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hawa viongozi wa CHADEMA ni tatizo kubwa

    Ben achana na huyu mmbeya! Nimefatilia mabishano yenu hana jipya, na hana lamsingi! Anakupotezea mda tu.
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wadada wengine wanashangaza kweli

    Ulimwepuka wapi wewe? Ilikuwaje akakutambulisha kwamba mkubwa ww mdogo yule kama ulikuwa hutembei nae! Endelea kuharibu ndoa za watu matokeo utakuja simulia.
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wadada kueni makini na sim zenu yani mnakera

    Asili ya mangi! Unacheza na mangi kwenye pesa. Na huenda alihamisha!
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna wadada wengine wanashangaza kweli

    Ulishaona hakufai yanini tema mawasiliano? Bado wampenda eheeee. Utapigwa mapanga? Mke wa mtu ni sumu! Punguza kujipendekeza muda wako uliisha. Karudi kwa wake wa zamani!
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

    Kitouti Una lako jambo. Hapo kwa baba mkwe mambo ya msosi ni shwari. Mtu mwenye nyumba yake hawezi kukubali upuuzi huo! hiyo naona iko kwako tu mkuu! Baba mkwe anawapenda sana wakwe zake huyo ni nomaaaaaaa.
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri ndugu zangu.

    Mapenzi yenu ni matam sana! Inaonekana ww ni bendera kwa huyo kijimwana cha kimbulu! Uchumba tu anafanya hivyo je mkioana itakuwaje? Hakufai na vilevile hakupendi unajilazisha kuwa nae wakati mmbulu hakutaki! Aliyekutambulisha ndiyo wake wa longi. Upo hapo! Heeee unavamia pori mzee chui...
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

    Kaza moyo! hama hivyohivyo kijeshi. Kama shida mtoto hama naye. Mtoto wa miaka 2 na miezi kadhaa mbona anakalika huyo! Mkuu sepa kimya2 onyesha kukerwa na hiyo hali!
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

    Post ni nyingi na zote zinamaana. Ni ww kuyafanyia kazi uliyoshauriwa. Tunaomba utupe taarifa! Utahama lini kwa baba mkwe?
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

    Wazee wa busara ndio zao! Shtuka fasta. Mnakaa kama mizikule bwana. Ukichelewa yatakukuta mambo ya w bush.
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Hayo mambo yapeleke uingereza tz hatunaga mila za hivyo! We vp? umekulia mtaani nini?
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameathirika,nipeni ushauri nifanyaje ?.

    Unadai unampenda! Muoe mkale maisha ati.
  15. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa zawadi akazira

    Kwenye mechi vip kuna ushirikiano? Maana anaweza kukuziria vyote.
Back
Top Bottom