Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Ulitakiwa ukatae hilo sharti gumu na la udhalilishaji kabla ya kufunga ndoa,sasa utateseka for good na sioni any sign of permanent solution at the moment,,,pole sana
 
Hivi kijana ulieamua kuoa kwa hiari yako mwenyewe unakaaje ukweni?? ili iweje?? na hayo unayoyapata ni halali yako. Huyo binti wakati unamuona alikuwa na umri chini ya miaka 18 mpaka aendelee kuangaliwa na wazazi??
Kwamarayanza niliuona ni ushauri wa maana (kuishi ukweni) kwakuamiani labda walihofu kiwango cha uchumi wangu kwa kipindi hicho, nakujipa moyo labda itakua njia nzuri ya mimi kujipanga kimaisha. Lakini sasa najutia uwamuzi wangu wakukubali kumuoa binti yao, kwani kama uchumi nimesha pandisha, nyumba ninayo nakazi pia, ila tangu nilipo omba rukhsa yakuama nakataliwa sijui kwanini? Huwezi amini mpaka leo nalishwa na mkwe (yeye ndie anae lisha nyumba mzima)
 
Mkuu kama wanaona kuhama ni kumchoka mkeo basi fanya maamuzi na naamin mkeo anaweza kukufuata ikishindikana kaa kimya. Maana hapo kwa tafsiri ya haraka ni kama vile umeolewa na hiyo familia ya mkeo na hutaweza kuwa na maamuzi kwa vile uhuru na maamuzi yako atafanya baba mkwe.

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
makubwa yaani unapewa chumba ukweni unakubali? mi nilidhani ulipewa bonge la mjumba ...sasa unagegeda vipi? gemu naona mnalipiga kwenye silent mode tena usiku mzitooo...yaani sikupatii picha. ila una moyo aisee...
umejidhalilisha sana ujue..na hao wazazi wako wanaokuja hapo kukutembelea eti hawapo free nawashangaa sana mimi wala nisingerusha mguu hapo kamwe.
nenda kwenu haraka sana
Dada, nyumba hii nikubwa haina hata hofu pindi tugegedanapo, kwani kila mtu ana chumba na varanda yake, nasio mimi tu niliopo hapo kwani hata hao dada zake wanaishi na wamezao, na kaka zake pia wanaishi na wakezao. Yani hii nyumba ni kama hospital vile, kuna shazi la watu alafu wote tuko chini ya mtu mmoja (baba mkwe)
 
Natamani kutoa comment lakini nasita kwa kutoamini nisomacho.

hata mimi mpwa watu8. Imagine una yale mambo yetu yale wallah ikisha umebanwa banwa hivi?
Kitoabu ni wewe au mwingine?

Okay fanya hivi Kesho tu fungasha kila kilicho chako na mke wako, hamieni kwenye nyumba yenu. KESHO I mean...bila kuchelewa. Hadi jumamosi mimi na 'wazee' wezangu hapa tutakuja kwa bakora kukutoa hapo. Umesema unaishi wapi?
 
Last edited by a moderator:
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?

Ama kweli wewe mjinga sana. sasa we ndo umeoa au umeolewa? Kwanza wewe kabila gani?
 
Ushauri wangu ni kwamba hakikisha unamgegeda huyo my wife wako kijeshi, hakikisha unampiga mti hadi apige makelele, iwe kwa maumivu au kwa raha, ukifanya hivyo hiyo familia itakuruhusu uwende na mkeo, maana watachoka kuyasikilizia hayo makelele,... Au una kibamia?
 
unataka uhame ili ukamtake makofi mkeo eeeh, ha aha haahaaa!!

cha kufanya kaa chini na wakweo waambie mtoto wao kashakuwa na unahitaji kwenda kuwa na familia yako, moja ya maamuzi ya kume ni kuwa jasiri na kutatua mambo bila kumkwaza mtu!!

me nadhani watakuelewa na ukiona wameshindwa basi wewe jaribu kwenda kwako kwa muda then uone ni nn maamuzi yao ya mwisho??

au huna pa kukaa mkuuuu? maana kama huna pa kukaa hii ni adidh nyingine mpyaaaaaa
 
Wazee wa busara ndio zao! Shtuka fasta. Mnakaa kama mizikule bwana. Ukichelewa yatakukuta mambo ya w bush.
 
Dada, weacha tu kama kuongea (kuomba kuhama) nisha ongea sana, ila jibu ninalopata ni moja tu, kama nimemchoka mtoto wao basi niendezangu niwaachie binti yao, kitu ambacho nikigumu kwangu kwani bado nampenda sana mkewangu nazaidi nahitaji mtoto wangu apitie kwenye malezi ya wazazi wake wawili (mimi na mkewangu)

mmh pole mkuu........

ila soma maoni ya wadau kwa uzuri ufanyie kazi
 
Kwani kuoa ulilazimishwa? Why ukubali kuishi ukweni for 4 years now? Amka mkuu mwambie mkeo mhamie kwenu na asipotaka wewe tangulia tu akijua maana ya ndoa atakuja tu.
Mkuu, labda nitoroke, lakini kumwambia mkewangu kuhusu kuhamia kwenye nyumba yetu! imekua kama wimbo wa Taifa. Nayeye mwenyewe kesha niambia kua kachoswa kuishi nyumbani kwao ila tatizo anamuogopa baba yake.
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?

Kwanza umenishangaza kuishi kwao na mkeo, zarau. Hama haraka uende na mkeo kwenu kama hali ya kipato ni mbaya au tafuteni kwenu. Usirudi tabia za kikongo zinacost.
 
Mhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana
Mkuu maneno yako yamenifanya nihisi kama Kuna nyembe imenikwama kooni mwangu. Kunasiku niliamka na Msuli nikavaa na singlendi kwa juu nilipo toka nje usokwauso na babamkwe, nasiki ananiambia sipaswi kuvaa mavazi hayo time za hasubuh kwakua mimi sio mwenye nyumba .
 
Last edited by a moderator:
Usiondoke kwanza subiri wakusomeshee na watoto,wakishamaliza University sepa!!!!!!!
 
Mhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana

Kaka, huyu ndugu yetu nafikiri anatatizo kubwa, na tatizo lenyewe ni kushindwa kutambua haki yake ya kuwa mkuu wa nyumba na ndoa yake mwenyewe kama vitabu vya dini vinavyotanabaisha!

Lakini kwa sasa, maadamu amegundua kuwa hakufanya uamuzi sahihi kuishi ukweni, nafikiri anahitaji sasa kufanya maamuzi ya kiume. Anapaswa kuchukua vilivyo vyake, naamanisha mali zake, mke wake na mtoto wake na kuondoka na kuhamia nyumbani kwake, huko alikojenga. Hakuna sheria ya ndoa inayomlazimisha muoaji kubaki ukweni, huu ni umburura!

Asijidanganye kumuacha mkewe kama bado wanapendana hata kama wazazi hawataki. Mke ni mali yake maana kamtolea mali na pia wanandoa inayotambulika hivyo hakuna mtu aliye juu yao wa kuwapangia mambo yao ya ndani ya familia yao. Anapaswa kusimama kama mtoto wa kiume.

Eiyer, come this way, ujionee ulimwengu ulivyo na mambo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom