wadada kueni makini na sim zenu yani mnakera

wadada kueni makini na sim zenu yani mnakera

ungemrushia muda wa maongezi wa 2,000 ndo size yake Angekuachia nyau fastaaa
 
Hahahaha pole sana, ndo uache kuzoea zoea waschana wa mtaani
 
ungemnunulia ya elfu kumi kuonesha huwezi kuiba salio kwenye simu yake halafu ungeendelea na mipango ya kumtokea.
 
hata nami nashanga !!!! bestito kwenda kumchajia simu huyo binti alikuw yeye na yeye halafu anakuja kulalama hapa kwani si yatuhuuuuuuu!
sa si unataka tufanyaje........mbona wakati anakuachia sim umchajie hukutushirikisha
 
hii imenishangaza sana yaani kuchajiana mchajiane, kudekeana mdekeane halafu malalamiko mje mtupe siye!
si majanga haya
 
mbona mnanirushia lawama mimi2 au wewe ayajakukutae,basi siitaji mjadala tena maana na nyie mmeanza kunikera,wengi wenu mmeandika utumbo2
 
mdida we ndo ujui kabisa stori inaelezea nini ebu acha umbulula soma habari vizuri c kukonenti2 kikuda

Mkuu wacha hasira bwana, mpaka unaanza na kuandika kichina hapa, sasa kukonenti ndio nini mkuu
 
habari zenu wana jf,kwamara nyingine napenda kushea jambo lingine na nyie kuhusu jambo lililo nikera nakuniuthi sana leo,ni dada mmoja wajirani na nyumbani kweli hua naeshimiana nae sana napia nataniana nae sana kama rafki yangu wakawaida leo aliniletea cm yake ili nimchajie baadae akaja kuichukua akaondoka alikaa uko kwao mda kidogo alirudi apa dukani akaniambia mbona cm yangu ilikua na mia5 saivi ina shing25? Nkamwambia misjui jekama umekatwa na mtandao ntajuaje? Apo alikataa mpaka nikakereka kiukweli sikuamisha salio lake Mungu shaidi ukizingatia mtoto mwenyewe ni mzur na nlikua nampango wakumtongoza,yani nlishangaa sana na mipango yangu ikafia apo apo kwajinsi nlivyochukia nlimpenda uyo dada lakini basi2 kisichosiziki akiliki.nani yamewahi kumkuta kama haya?
Hivi JF haina Mwalimu wa kiswahili?
 
Kwani ulitaka kumuoa mkuu? Si ungenunua vocha ya buku tano tayari ungekuwa umeshajimilikisha mgodi ukute ye ndo alikuwa anakutongoza hivyo
 
aina haja nna demu katulia xana ndo ananipa yale mambo yetu kwa sasa kwaiyo uyu wa shida na vocha nafkiri mipango ingetulia kumpata angekua dem mwenza,mi ni shida!
 
Back
Top Bottom