BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Mi mulokole namuogopa mungu na log on
hujachelewa ndugu yangu muda bado unao.Nalog off
Mi mulokole namuogopa mungu na log on
Sitaki kuwa maskini mie! Mshahara wote uishe kwa sababu ya mbunye... nope!
naomba msaada kwenye tuta bi dada.Nalog off
Sasa huyo mpangaji mwenzako
hakujua alikuwa na good intentions mbona na hajafanya makusudi kwa
nilivyoelewa we ndo umelikoroga ulinywe sasa!kwani ungekuwa na mchumba
mmoja ungepungukiwa na nini loh!!
sinaga msaada kwa wanzinzi!
Sitaki kuwa maskini mie! Mshahara wote uishe kwa sababu ya mbunye... nope!
kkkkkk.usihukumu binadamu wenzio.Nalog off
Nipe namba ya Joyce nii solve hii issue ndogo saña!!
Na login
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sasa we kwann uwe na wote wawl kwa wakat m1? Mpangaji kafanya vzr sana
sijakuhukumu banaa, ila si ndio ukweli, si unazini wewe au nakusingizia?
Ndiyo faida ya mtu malaya! Mpeleke mpangaji mahakamani.
hahahaaa...... Usije ukamuiga tembo kukata gogo dogo utaumia!
Mnatolewa povu na washawasha wakati kavaa pensi?