Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

pole kakangu. na hongera kwa uvumlvu huo. kwan wa2 kama wewe ni wachache mno kkt ulimwengu hu wa ss. ushaur wangu n hu. ka chn na mkeo kama mlizungumzie na kuchukua ha2a ya kuhama mara moja. kama anakupenda kwel hamtashndwa kuchukua ha2a tena una kwako bwana' alaaa' vnginevyo ndugu yangu utaendelea 2 kulalamika!
Ahsante
 
mkuu upo serious au unatania, humu duniani kuna mambo mengi yanendelea..doh
Mkuu, ikiona uko kivulini basijua tuko ambao bado tunapigwa na jua la utosi.
 
Kaka, huyu ndugu yetu nafikiri anatatizo kubwa, na tatizo lenyewe ni kushindwa kutambua haki yake ya kuwa mkuu wa nyumba na ndoa yake mwenyewe kama vitabu vya dini vinavyotanabaisha!

Lakini kwa sasa, maadamu amegundua kuwa hakufanya uamuzi sahihi kuishi ukweni, nafikiri anahitaji sasa kufanya maamuzi ya kiume. Anapaswa kuchukua vilivyo vyake, naamanisha mali zake, mke wake na mtoto wake na kuondoka na kuhamia nyumbani kwake, huko alikojenga. Hakuna sheria ya ndoa inayomlazimisha muoaji kubaki ukweni, huu ni umburura!

Asijidanganye kumuacha mkewe kama bado wanapendana hata kama wazazi hawataki. Mke ni mali yake maana kamtolea mali na pia wanandoa inayotambulika hivyo hakuna mtu aliye juu yao wa kuwapangia mambo yao ya ndani ya familia yao. Anapaswa kusimama kama mtoto wa kiume.

Eiyer, come this way, ujionee ulimwengu ulivyo na mambo!

Una uhakika kamtolea mali ?pengine zilitoka kwa baba mkwe pia
 
Nashuku kwa ushauri wako dada yangu, lakini naomba usini chukie

Kwa kweli nina mashaka na wewe, kama kweli umekamilika, na ni mwanaume shababi , ambaye unaweza ukaweka mpni kwenye jembe na ukashika sawa sawa, Pia nina wasi wasi na huyo mtoto anaweza akawa si wako, maana mwanaume shababi , rijali lazima awe na maamuzi mazito, aweze kusimama na kusema hili sawa hili hapana, mojawapo ni hilo la kukubali kuishi ukweni.
Ondoka leo leo, waage na mwambie mkeo kama anakupenda na kukuthamini akufuate , tena mpe muda, na asipofanya hivyo basi mwambie utaoa mwanamke mwingine.
Pia nina wasiwasi na malibwata ambayo wamekwishakulisaha kiasi ambacho kila kitu watakuwa wanakupangia wao, yaani hata kuwasaidia wazazi wak wanakupangia, na hapo home wazazi wako hawawezi kuja na kulala, lazima waje kusalimia tu na kuondoka, sasa umeoa au umeolewa? nijibu tafadhali.
 
Dunia imeisha huyo kaolewa so anaomba ushauri w nini? Cz tayari keshalipiwa huyo
 
Pole sana kakangu Kitoabu, fanya mpango uhame haraka sana. Nimejisikia vibaya mno.
 
Last edited by a moderator:
Una uhakika kamtolea mali ?pengine zilitoka kwa baba mkwe pia

Siamini kama atakuwa mbumbumbu kiasi cha kukubalia kulipiwa mahari na baba mzazi wa mke wake! Kama ni kweli kalipiwa mahari na baba mkwe, basi huyo mke si wake, itakuwa kawekwa tu kama ngo'mbe dume anayewekwa kwa ajili ya kuzalisha ng'ombe jike ambaye kimsingi, ng'ombe huyo huwa hana faida yoyote! Ni bora aondoke haraka!
 
Kitoabu Umeshahama au bado unang'ang'ania chumba cha mkweo.... Naanza kukubaliana na tusi la wadada, kuna wanaume suruali huku duniani.
 
Ahahahaaaaa...pole kwa "kuolewa" na baba mkwe wako....

Sie wakristu tunafundishwa kuwa "mume atawaacha baba na mama yake na ndugu zake na kuambatana na mkewe na vivyo hivyo mke atawaacha baba mama na ndugu zake na kuambatana na mmewe na kuwa familia moja....

Wewe sasa naona umewaacha baba na mama na ndugu zako na kuamia "utumwani" kwa mkeo..pole sana....saa fanya maamuzi magumu..mwambie baba mkwe kuwa unaondoka na mkeo na mtoto wako na kuenda kuanza maisha ya mke na mume na sio kuishi hapo kama watoto wa nyumbani..

Kama hakuelewi mwambie amuoe mwanae wa kike huyo aendelee kuishi naye kama mkewe wa pili wewe unaenda kuoa na kuishi na mke mwengine.

Usisahau kumuuliza baba mkwe wako "baba mbona hauishi nyumbani kwa kina mama kama mie navyoishi kwa mke wangu hapa???

kweli nyerere alikuwa jiniasi kinoma..skia hii " mtu akikujuwa una akili timamu na akakueleza jambo la kipuuzi na ukalikubali atakudharauuu sanaa..ila akikuambia jambo la kipuuzi na ukalikataa atakuheshimu sana"...pole ulikubali ujinga sanaaaaa kipindi unamuwowa binti yako.
 
Pole sana!

Usijiulize mara mbili, chapa lapa tena sio kwa wazazi wako ila nenda kwako!!Kama hujajenga basi katafte nyumba ya kupanga na mkeo atakufuata!Ila aisee hakuna mtu jasiri kama wewe looh!Wanaume wengine huwa hata wakienda ukweli hawalali labda kuwe na msiba wewe miaka 4!!
 
Wanakula kwa shikamoo baba mkwe:frusty::frusty: :frusty:

kwa hiyo baba mkwe anawalisha familia nzima, na haulipi umeme wala maji. na hauna gharama hata ya hausigelo. usihame bwana. wewe vumilia, kama mnalishwa kama watoto hapo:A S-confused1:
 
Aisee natamani kukutusi. Anyway fuata moyo wako. Miaka 4 iliyopita jf ilikuwapo ,tena na members walio makini kuliko sie wa saizi ,uliomba ushauri ulipoambiwa uminye kwenye selo ya ukweni mpaka huyo mamsapu wako atoke nyonyo? Asa ya nn kutukera na udhembe wako wa kufikiri na ukosefu wa maamuzi makini na kamili ya kiume? Dadadadeki zako!
 
Ndio mimi Mkuu, ila uwanaume wangu unaishiaga humuhumu JF tu, nikirudi nyumbani Uwanaume wote namkabidhi mwenyewe (baba mkwe) namimi nabaki na uvulana tu.
mi unanitia hasira kama vile kakangu ndo anafanyiwa hiv!
chaaaaaaaaaaaa!
 
Post ni nyingi na zote zinamaana. Ni ww kuyafanyia kazi uliyoshauriwa. Tunaomba utupe taarifa! Utahama lini kwa baba mkwe?
 
Nivea naona unampa muda mrefu sana wa miezi mitatu!!! Mke anangoja nini kwao miezi hiyo mitatu wakati mumewe ana sehemu yake ya kuishi!? Kwa maoni yangu mwezi tu unamtosha kujiandaa kwenda kuishi na mumewe katika mazingira mapya, kama akileta za kuleta basi jamaa aendelee kivyake vyake. Tena huyu jamaa ni mvumilivu sana, miaka minne kuishi kwa wake katika manyanyaso kama hayo inahitaji moyo sana, wengine miezi sita tu wangeshasepa haraka sana.


i cant belive my eyes kwa nilichokisoma ,cary your burden and go man mwambie mkeo kama anakutaka akufuate na baada ya 3month utaoa kama hataleta pua yake,au mtie huyo mwanamke kwa ubwete akilia kwa uchungu utamu baba yake akitoka kuangalia maana bado ni mdogo au kaka zake wachanganyie na wao kwenye game bullshit utakubalije kuolewa mtoto wa kiume wewe proove beyond reasonable doughts that are a gentleman kha
 
Last edited by a moderator:
Ungekua mwanaume kweli ungekataa tangia mwanzo, endelea kuvumilia tuu
 
Back
Top Bottom