Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Stahamili tu kijana, "ukipenda boga upende na mauwa yake".

Wazo lingine; Ongeaa na Ben Saanane akupe maujanja.
 
Last edited by a moderator:
mkuu upo serious au unatania, humu duniani kuna mambo mengi yanendelea..doh

Kitoabu Umeshahama au bado unang'ang'ania chumba cha mkweo.... Naanza kukubaliana na tusi la wadada, kuna wanaume suruali huku duniani.
Bado sijahama ila nipo kwenye mchakato, Siunajua huwezi kukurupuka kama kojo la hasbuh!
 
Post ni nyingi na zote zinamaana. Ni ww kuyafanyia kazi uliyoshauriwa. Tunaomba utupe taarifa! Utahama lini kwa baba mkwe?
Mkuu, kuhama ni lazima hiyo haikwepeki, ilasiku ndio bado sijaijua. Ninacho hofia nikua, itakuaje nikiondoka alafu mkewangu akishindwa kunifuta, ipi itakua hatma ya malezi ya mwanangu? sababu ndiokwanza ana miaka 2 na miezi nane.
 
Nivea naona unampa muda mrefu sana wa miezi mitatu!!! Mke anangoja nini kwao miezi hiyo mitatu wakati mumewe ana sehemu yake ya kuishi!? Kwa maoni yangu mwezi tu unamtosha kujiandaa kwenda kuishi na mumewe katika mazingira mapya, kama akileta za kuleta basi jamaa aendelee kivyake vyake. Tena huyu jamaa ni mvumilivu sana, miaka minne kuishi kwa wake katika manyanyaso kama hayo inahitaji moyo sana, wengine miezi sita tu wangeshasepa haraka sana.
BAK nilijaribu kukaa ukwenu nilishindwa nikawaza kabla sijagombana na mtu wacha niondoke zangu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu, kuna mambo mawili hapo;-
1. Si kwamba mkeo ni mtoto bali baba mkwe wako ndiyo anayekuona wewe ni mtoto kiasi kwamba huwezi kuendesha familia yako kwa kujitegemea
Au
2. Baba mkwe wako ni wale wale 'wanaokula' mabinti zao hivyo anaona mke wako akiondoka utamu wake ataukosa (samahani lkn kama nitakuudhi kwa point hii, lkn kumbuka pia dunia ndipo ilipofika kwa sasa)

Kutoka katika hali hii inayokusumbua kisaikolojia, mwambie mkeo mtoke hapo na mkaishi kwenye nyumba yako na tena uongee kama mwanaume na baba wa familia na baada ya hapo MPE taarifa baba mkwe wako kwamba baada ya mwezi unahamia kwenye nyumba yako na familia yako!
 
Mkuu kwa koment yako hii nahisi wewe huwezi kuchukua maamuzi, au labda umemuoa 'mwanaasha' hivy umetulia ukweni hapo magogoni iunaenjoymayai yaliyonunuliwa kwa kodi zetu sema tu moyo wako unakusuta
?'
Ngoja nijaribu kama nitaweza.
 
Mnapoenda kulala wakwe wanajua mwanetu anaenda kutarasuliwa, Hasahasa Ba-mkwe...
Cha muhimu mtarasue hasa hadi apige mayowe ya mahaba. .mbona utapewa tiketi ya kuondoka mapemaaa na mkeo....
 
we jamaa nia je? yan unakaa kwa wakwe? toka siku ya kwanza ulikosea. cha muhimu waachie mtoto wao usepe coz hata ukisepa nae watakwa mbia umelelwa kwao. dharau palepale
 
Mkuu kwa koment yako hii nahisi wewe huwezi kuchukua maamuzi, au labda umemuoa 'mwanaasha' hivy umetulia ukweni hapo magogoni iunaenjoymayai yaliyonunuliwa kwa kodi zetu sema tu moyo wako unakusuta
?'
Mkuu, hatakama ninge bahatika kumuoa Mwanaasha, lakini bado sio kigezo chamimi kuishi ukweni. Kwakweli Kuna mengi ya haibu nimeyaficha ambayo nakumbana nayo kilasiku kwenye nyumba hii. Asikuambie mtu, uhuru nizaidi yakuishi magogoni ndugu yangu.
 
we jamaa nia je? yan unakaa kwa wakwe? toka siku ya kwanza ulikosea. cha muhimu waachie mtoto wao usepe coz hata ukisepa nae watakwa mbia umelelwa kwao. dharau palepale
Sasa kuhusu malezi ya mwanangu itakuaje? kweli mwanangu alelewe na mzazi mmoja? Malezi bora yamtoto yanahitaji ushirikiano wa wazazi wawili, hicho tu ndio kinacho niumiza kichwa.
 
Sasa kuhusu malezi ya mwanangu itakuaje? kweli mwanangu alelewe na mzazi mmoja? Malezi bora yamtoto yanahitaji ushirikiano wa wazazi wawili, hicho tu ndio kinacho niumiza kichwa.



Watu tumelelewa single homes na bado tumegrow into responsible citizens, think outside the box!!

Fanya maamuzi ujenge heshima kwa wakwe
 
Kaza moyo! hama hivyohivyo kijeshi. Kama shida mtoto hama naye. Mtoto wa miaka 2 na miezi kadhaa mbona anakalika huyo! Mkuu sepa kimya2 onyesha kukerwa na hiyo hali!
 
jenga nyumba yako basi mkuu, uhame uko ukweni
Kuongeza mkewapili vipi wakati me mwenyewe naishi ukweni? Huyo mke wapili atakubali kuja kuishi ukweni kwangu? Ninacho taka ni kujitawala ndani ya ndoa yangu sio kingine.
 
Mkuu Kitoabu nimefuatilia responses zako kwenye comment za nguvu kutoka kwa wadau nimegundua mambo haya:- either umetunga huu uzi ili uumize vichwa vya watu na kama siyo hivyo basi wewe ni mvulana na kwa mtizamo wako na akili zako kiuhalisia huna uwezo kweli wa kuongoza familia yenye mke ndiyo maana baba mkwe wako kwa kujua upeo wako ameamua akuweke chini ya usimamizi wake (apprentice)ili upate uwezo wa kusimamia familia kwa hapo baadaye.
My take; endelea kukaa kwa mkweo hadi pale atakaporidhika kwamba una uwezo wa kusimama kama baba wa familia!
Kwahiyo huyu mzee wenda akawa ni popobawa enh!!!
 
Last edited by a moderator:
Usijali mkuu endelea kuvumila wapo wengi kama wewe, unachukia ndoa yako wakati wengine nafasi kama hiyo wanaitafuta kwa uvumba bila ya mafanikio? Vijana wengi sana wa kisasa wameshakubaliana na maisha ya kuolewa nadhani hata wewe umekosea kusema eti unaishi ukweni, bali ulitakiwa kusema kuwa uliolewa ndio maana unaendelea kuishi ukweni kweli wewe kichwa maji mpaka sasa hujajitambua tu? Subiri wenye ubongo hasi waje kukusaidia maana hapo hakuna umuhimu wa kuomba ushauri! Ila pole kwa ujinga wako huu wa kuolewa kwa kipindi cha miaka minne duh kweli wazazi tuna hasara toto kama hili faida iko wapi?
 
Back
Top Bottom