Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

Wakuu...Naombeni msaada wenu wa mawazo...
Nimetokea kumpenda sana mtoto wa mama yangu mdogo na nafikiri labda MUNGU akipenda,nafikiria kumuoa huko baadae..Ila bado sijamwambia kuhusu hisia zangu juu yake.

Sasa je,Itakuwa sawa kama tukiamua kuoana? Hasa ukizingatia kuwa sisi ni ndugu..Je imekaaje hili katika tamaduni zetu za kitanzania?
Naomba msaada wakuu

...astaghfirullah...!
140px-Allah1.png
 
Tupe Ushahidi kwenye Vitabu vya Mungu Biblia na Kuran wapi wamesema huwezi kumuowa mtoto wa Mama yako mdogo? Usitowe kichwani tu tunataka ushahidi wa vitabu vya Dini.

Mkuu life is not all about bible and quran only..
 
Hayo mambo yapeleke uingereza tz hatunaga mila za hivyo! We vp? umekulia mtaani nini?
 
Laana inakunyemelea wewe!! Ninawaswasi na akili yako!!
 
Mkuu nimekunyoshea mikono, nimejifunza kitu

Mambo ya Walawi, Chapter 18

[SUP]18:4[/SUP] Mtazifanya hukumu zangu, nanyi mtazishika amri zangu, ili mwenende katika hizo; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.

[SUP]18:5[/SUP] Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.

[SUP]18:6[/SUP] Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.

[SUP]18:7[/SUP] Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.

[SUP]18:8[/SUP] Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.

[SUP]18:9[/SUP] Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.

[SUP]18:10[/SUP] Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.

[SUP]18:11[/SUP] Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.

[SUP]18:12[/SUP] Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.

[SUP]18:13[/SUP] Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.

[SUP]18:14[/SUP] Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.

[SUP]18:15[/SUP] Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.

[SUP]18:16[/SUP] Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.

[SUP]18:17[/SUP] Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.

[SUP]18:18[/SUP] Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.

[SUP]18:19[/SUP] Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.

[SUP]18:20[/SUP] Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.

[SUP]18:21[/SUP] Nawe usitoe kizazi chako cho chote na kuwapisha kwa Moleki, wala usilinajisi jina la Mungu wako; mimi ndimi Bwana.

[SUP]18:22[/SUP] Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.

(MKUU MTOTO WA MAMA YAKO MDOGO UNAWEZA KUMUOWA)
 
kuna kitu co cha kawaida apa ngoja narud ss iv naenda msalani kwanza narud na furush la ushaur subir
 
mkuu kwanza uyo bint atakubali?.....
me naona kumega ina wezekana ila swala la kuoa ndio tata zaidi mkuu, maana ndugu na wazazi wataona ume wazalilisha.
 
ama kweeli dunia imevaa pensi
wewe,She is your sister..ni laana hiyo
ivi imekuaje ukaruhusu hayo mawazo kwanza?
 
Mambo ya Walawi, Chapter 18

[SUP]18:4[/SUP] Mtazifanya hukumu zangu, nanyi mtazishika amri zangu, ili mwenende katika hizo; mimi ndimi Bwana, Mungu wenu.

[SUP]18:5[/SUP] Kwa ajili ya hayo mtazishika amri zangu na hukumu zangu; ambazo mtu akizitumia ataishi kwa hizo; mimi ndimi Bwana.

[SUP]18:6[/SUP] Mtu ye yote aliye wa kwenu asimkaribie mwenziwe aliye wa jamaa yake ya karibu ili kumfunua utupu; mimi ndimi Bwana.

[SUP]18:7[/SUP] Utupu wa baba yako, wala utupu wa mama yako, usifunue, maana ndiye mama yako; usifunue utupu wake.

[SUP]18:8[/SUP] Utupu wa mke wa baba yako, usifunue; maana, ni utupu wa baba yako.

[SUP]18:9[/SUP] Utupu wa umbu lako, binti ya baba yako, au binti ya mama yako, kwamba alizaliwa nyumbani mwenu au kwamba alizaliwa kwengine, utupu wa hao usifunue.

[SUP]18:10[/SUP] Utupu wa binti ya mwanao mume, au wa binti ya binti yako, utupu wao hao usifunue; kwa kuwa ndio utupu wako mwenyewe.

[SUP]18:11[/SUP] Utupu wa binti ya mkewe baba yako, aliyezaliwa na baba yako, yeye ni umbu lako, usifunue utupu wake.

[SUP]18:12[/SUP] Usifunue utupu wa umbu lake baba yako; maana, yeye ni jamaa aliye karibu.

[SUP]18:13[/SUP] Usifunue utupu wa umbu la mama yako; maana, yeye ni jamaa ya mama yako ya karibu.

[SUP]18:14[/SUP] Usifunue utupu wa ndugu ya baba yako, usimkaribie mkewe huyo; yeye ni shangazi lako.

[SUP]18:15[/SUP] Usifunue utupu wa mkweo mwanamke; yeye ni mke wa mwanao; usifunue utupu wake huyo.

[SUP]18:16[/SUP] Usifunue utupu wa mke wa nduguyo; maana, ni utupu wa nduguyo.

[SUP]18:17[/SUP] Usifunue utupu wa mwanamke na binti yake; usimtwae binti ya mwanawe mume, au binti ya binti yake, ili kufunua utupu wake; hao ni jamaa ya karibu; ni uovu mkuu.

[SUP]18:18[/SUP] Wala usitwae mwanamke pamoja na nduguye, awe mtesi wake, na kufunua utupu wake, huyo wa pili atakapokuwa yu hai.

[SUP]18:19[/SUP] Nawe usimkaribie mwanamke kufunua utupu wake wakati wa kutengwa kwa ajili ya unajisi wake.

[SUP]18:20[/SUP] Usilale na mke wa mwenzio, ukajitia unajisi naye.

[SUP]18:21[/SUP] Nawe usitoe kizazi chako cho chote na kuwapisha kwa Moleki, wala usilinajisi jina la Mungu wako; mimi ndimi Bwana.

[SUP]18:22[/SUP] Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo.

(MKUU MTOTO WA MAMA YAKO MDOGO UNAWEZA KUMUOWA)
Ahsante sana Mkuu MziziMkavu, nilitaka kufanya hivyo hivyo kumuonyesha maandiko matakatifu yanayokataza kuoana ndg, nashukuru umeniwahi, nakupa pongezi sana, kitufe cha thanks siku hizi hakipo, pokea thanks zangu
 
Hiki ndicho kizazi cha Dad Unamtamanije nduguyo?Hata mkizaa hatakuwa mtoto salama.Mchanga+mchanga=Havitengenezi Zege
 
Muinjilisti MziziMkavu, Asante kwa neno la leo

Maana kijana anataka kwenda kinyume na maneno ya Muumba wetu

Barikiwa na Bwana
 
Last edited by a moderator:
Ww ni dini gani mcrt au msm km mslm unaweza kumuoa kwani ukitaka kufanya jambo muangalie mungu kwanza naco bndm.
 
muoe tu mana viroba vinakusumbua,
wanawake wangap wapo Tanzania mpaka umpende dada yako.. vp hujawahi
kumtamani mama yako au bibi yako?
 
ama kweeli dunia imevaa pensi
wewe,She is your sister..ni laana hiyo
ivi imekuaje ukaruhusu hayo mawazo kwanza?

Wewe rudi shule ukasome kiingereza, tangu lini mtoto wa baba mkubwa au baba mdogo hata wa mama mkubwa na mama mdogo akaitwa SISTER kwa kiingereza, anaitwa COUSIN wewe, so she isn't his sister, she's his cousin.
 
Wakuu...Naombeni msaada wenu wa mawazo...
Nimetokea kumpenda sana mtoto wa mama yangu mdogo na nafikiri labda MUNGU akipenda,nafikiria kumuoa huko baadae..Ila bado sijamwambia kuhusu hisia zangu juu yake.

Sasa je,Itakuwa sawa kama tukiamua kuoana? Hasa ukizingatia kuwa sisi ni ndugu..Je imekaaje hili katika tamaduni zetu za kitanzania?
Naomba msaada wakuu

Kaka Huyo si dada yako? in english anaitwa cousin, your sister is the one mnachangia baba, au mama, au vyote kwa pamoja, kusema kweli unaruhusiwa kumuoa, ila kwa mtazamo wa jamii yetu, bora ungeachana ni hiyo fikra na kuelekeza mapenzi yako na hisia zako kwa mtu mwengine, maana wanawake ni wengi hapa Bongo.
 
Back
Top Bottom