Nimempa zawadi akazira

Nimempa zawadi akazira

Hahahah umenichekesha sana. napenda sana kulala nipata nafasi ila iyo zawadi
Mmmm
 
Hahahahahaha
Amepata meseji labda “endelea kulala wenzio wala”
 
kweli lazima akasirike yani mtu anapenda kulala we unamletea mto mi nikajua hata umemnunulia 'ndoto' siku zingine uwe unatumia akili....
 
I just thought kuwa, that could give you two some laughters!! Joke around it and strengthen your bond!

Eti anazira! Kawaida ya masikini wa mawazo, huwa wanadhani zawadi iko meant kumaliza matatizo yao!! Ungemnunulia perfume hata kama ina haruf mbaya angekuona wa maana!!
 
hizo zawadi kawape wazungu au watoto wa masaki mademu wa manzese wanaitaji ela wakasaidie familia zao au wakalipe kodi

Hahahahaha, mkuu kama nakuona unavyotoa ushaur.
 
Back
Top Bottom