Jamani me nina mke wangu halali wa ndoa kabisa tumekaa kwenye uchumba kwa takribani miaka minne tukaoana kwa baraka za wazazi wote pande mbili.tatizo ni kuwa kila tukimaliza ku-do anaomba hela kitu ambacho hakuwa nacho enzi za uchumba,nisaidieni amepatwa na nini?
usituchekeshe... inaonekana huna hoja za kuingia jamvini... tafuta mada nyingine tutaichangia... wewe inaonekana hata mke mwenyewe huna