Lovebird, Hoshea and Cnajina, sio kwamba bado nampenda au natamani ndoa yao ivunjike no noooo! Niliitimisha uzi wangu kwa kusema kwamba nilimwambia we have our dream but God creates destiny nikimaanisha unaweza ukapenda lakini haikupangwa iwe hivyo, kwa hiyo, hiyo ndio destiny yake.
La zaidi naamini kwamba it is not a must to fall in love but you can choose to grow in love, nikimaanisha kwamba still ana muda wa kuyasoma mapungufu ya mumewe na kuendelea kuuwekea mbolea upendo ukamea na kukua kila itwayo leo.
Kuhusu mawasiliano, sio ya ukaribu kwa kuwa natambua ni mke wa mtu, kama nilimuepuka kabla hajaolewa, haiwezekani nikafanya sasa maana naamini it is not wise to fight for love but let love fight for you.