Recent content by Jumaaofficial

  1. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha TV Channel

    Habar wanaJF Ningependa kujua ni bajeti ya kiasi gani ambayo unaweza kuazisha tv channel kama ilivyo Etv na Clouds. Naomba kuwasilisha.
  2. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania Malengo yangu ya kuweka Tsh 20,000 kila siku

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 elimu yangu kidato cha 4 katika harakati zangu za utafutaji wa pesa nimefanikiwa kuanzisha duka. Kiukweli mwanzo kipindi naanza hali ilikua ngumu sana kwani mtaji wangu ulikua mdogo, lakini namshukuru Mungu amenisaidia hadi leo biashara...
  3. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu biashara yangu ya Duka

    Mod naomba mfute huu uzi
  4. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania Muuzaji wa simu za i phone kwa jumla Dar uje hapa

    Ngoja aje.
  5. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

    Yule aliekuwa anatupa matango poli kutoka urusi yupo wapi?
  6. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

    unapatikana wapi?
  7. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya kiuno kigumu kiwe laini

    Umechoka kuitwa Gogo kitandani pole sana. Naona vyuma vimekaza hata ukikataka kama mwali wakimakonde no money, izi-zama Jpm.
  8. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania Drywall na ujenzi wa kisasa

    Naona umekusudia kuharibu huu uzi, hoja yako haina mashiko. emekushika pabaya kwenye i phone.
  9. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania AZAM TV nawahama kwa kweli

    Tbc ndio channel ambayo haipo kibiashara inatumia kodi zetu kujiendesha so inapatikana bure. Lakini channel kama Itv, Star tv, clouds,nk hadi ulipie ndio unazipata kutokana na Azma Tv company wanazilipia zile channel ile ziwepo kwenye king'amuzi chao.
  10. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania AZAM TV nawahama kwa kweli

    Acha kudanganya Tbc ipo akam kawa
  11. Jumaaofficial

    JamiiForums Tanzania AZAM TV nawahama kwa kweli

    Kila lakheri uwendapo
  12. Jumaaofficial

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenye makalio madogo mnatuboa sana wapenzi wenu

    Mmmh naanzaje kupaka mafuta
Back
Top Bottom