Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha TV Channel

Jumaaofficial

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
250
209
Habar wanaJF

Ningependa kujua ni bajeti ya kiasi gani ambayo unaweza kuazisha tv channel kama ilivyo Etv na Clouds.

Naomba kuwasilisha.
 
Habar wana JF ningependa kujua ni bajeti ya kiasi gani ambayo unaweza kuazisha tv channel kama ilivyo Etv Clouds.

Naomba kuwasilisha.
$ 200,000 garama za turnkey (content+broadcasting studios)+all required software
Now akuna transmiters,microwaves antennas
 
Inategemea na ukubwa wa Project yako

Waone TRA

Unaweza kuanza na jengo moja ndani yake ukatengeneza studio kama 2 ivi humo humo ukaweka Office nk..

Pia uandae bajet ya kulipa mishara wafanyakazi kwasababu hadi tv iwe na jina ndio unaweza kupata matangzo

Kiukweli hiii issue inalipa sana



Andaa kama 300 milion
 
Back
Top Bottom