Jumaaofficial
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 250
- 209
Mod naomba mfute huu uzi
Mkuu jilipe mshahara kidogo ili sehemu nyingine ya faida yako uwekeze kwengine. Mi nashauri anza kwa kujilipa laki 3 ili uangalie sustainability ya biashara yako kwa kujilipa mshahara huo kama itaendelea vizuri au kutakuwa na kuyumba. Kujilipa mshahara ni jambo la muhimu sana. Pia faida inayopatikana zaidi endelea kuwekeza kwenye fursa nyingine zilizopo ambazo zinahitaji usimamizi usio wa karibu sana.mkuu ni Duka la bizaa ndogo ndogo Kwa kawaida inakua ngumu kupiga hesabu ambayo ipo fixed kwasababu bizaa frani ikiisha nanunua nyingine but nikikaa ndani ya mwezi bila kwenda nunua vitu ndani ninakua na olmost 5 milion
Kawaida inategemea na bidhaa iliyotawala duka lako japo kwa mimi huwa nachukua kila siku 20% hadi 30%ya mauzo yangu ya siku cha msingi uwe makini sana vocha usihesabie kwakuwa faida yake ni ndogo sana around 5%Kwny mtaji wa 3 million Ww kwa mwezi unilipe laki 6?
Haya bwana, kila lakheri