Recent content by Judy

  1. J

    JamiiForums Tanzania Do You Know This?

    Sasa tuwasaidie vipi hawa ndugu zetu jamani. Yani mafisadi wameshaingilia direct uchumi wa maskini wafanyakazi pia, yani hata nashindwa kuelewa hii nchi ni ya aina gani? Ina maana hili pia tutalinyamazia na kuishia kupiga kelele tu? Lets take action please, najua watu humu wanaweza kuitoa hii...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Agenda 21 waanza kukutwa na vizuizi...

    Smelling kada mpinzani
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la wasomi kuhusu ufisadi

    TANZANIA HIGHER LEARNING INSTITUTIONS STUDENTS ORGANIZATION. (TAHLISO) P.O BOX 35080 DSM Email; tahliso2006@yahoo.com Mobile +255 754 629 322 juliusmtatiro@yahoo.com +255...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nina kiburi (I am proud) kuwa mTanzania

    Ever heard of someone with unnecessary hard feelings? Go Mwafrica wa kike,some people just need to be ignored, attention seekers!If we really need to compare you and MWK's contribution to lowassa's downfall you wont stand a chance.Sometimes its better to be silent.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Kwa waliosikiliza hotuba ya Dr Slaa bungeni jana watakuwa wamesikia akimtaja huyu mama (correct me kama nimekosea jina)Kwamba anahusika na process fulani za mikataba kusainiwa. Kama kuna mtu mwenye information zaidi aziweke tujue role yake na yeye maana Slaa mpaka kamtaja kwamba amesahauluka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania PCCB: Tuna manufaa nayo?

    Jamani kuhusu swala la mwanasheria mkuu, dont you think its time hizi post wapewe watu waliosoma currently, nikimaanisha kuna watu wengi competent waliosoma sheria miaka hii na wanakosa ajira kwa kubaniwa na hawa wazee waloisoma miaka ile na wanaongozwa na mawazo ya wakati ule kiasi kamba...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Inatosha - Lowassa Jiuzulu!

    Shame,shame, shame, Yaani jana nilipokuwa naangalia tv report ikisomwa nilikuwa nasikia baridi. Aibu gani hii, lowasa katoa macho hana aibu kama kibaki.Yani asipojiuzulu sijui ni bora mtu ajilipue tu karibu na yeye tumsahau.Jk kibarua kigumu hiki sasa, n its time to show us that you are the...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Richmond Bungeni (FULL TEXT) na yatokanayo

    I really doubt
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sitta Bungeni alazimika kutoa maelezo ya ziara yake

    Can something be done about this? Seriously we dont understand this language, ni uharibifu wa kiswahili na its not funny at all. I think i am not the only one who hate this. Tuwe serius, kama mtu unataka utani kwenye nenda kandike kule kwenye jokes aina hii ya lugha si kila sehemu.
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Election 2007: Outcomes

    I dont think so
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wana JF Hawa Wako Wapi?...

    Jamani mugongomugongo je? Au kafungiwa?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Form four 2007

    Mama lao, Wanaume wana visa we acha tu, yani wasichana wakifaulu eti wameiba paper. Hii inaprove wanawake wakiamua ku utilize mind zao, they are even better than men. Braaaaaaaaaaavo St Francis,
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Another Odm Mp Killed In Kenya.

    Abnother rwanda in the making, God forbid
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Election 2007: Outcomes

    Chirau Makwere of all the people? You cant be serious. Anyway after all you are talking on kubaki's side, what can we expect?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!

    Ibra, Hivi vita kweli kweli, wanaume nao siku hizi kwa kutetea haki zao si mchezo. Wanawake walienda beijing kuzindua sasa sijui wanaume nyie mlikutana wapi. Anyway i expected this, si unajua tena aguswaye hushtuka. BTW Mugongomugongo yuko wapi? Guys no offence ni mtazamo tu na kila mtu ana wake,
Back
Top Bottom