Another Odm Mp Killed In Kenya.

Tension after Kenyan MP shot dead

People are fleeing the western Kenyan town of Eldoret after an opposition MP was shot dead by a traffic policeman in disputed circumstances.
The police say that David Too was killed in a domestic dispute unrelated to the political crisis but the opposition call it an "assassination".

A local police official says that Mr Too was having an affair with the wife of the policeman, who shot them both.

Reports say that angry crowds have marched on the police station.

Officers dispersed them by firing shots into the air, reports the AP news agency.

Members of President Mwai Kibaki's Kikuyu community have been fleeing the Rift Valley town, seen as an opposition stronghold.


All that remains for one Kenyan school after being attacked


In pictures

Shops and businesses have closed in case of looting.

An opposition MP was also killed on Tuesday, sparking violence in Nairobi slums.

"The second killing of an MP belonging to Orange Democratic Movement is part of a plot to reduce our majority in parliament," ODM leader Raila Odinga told the AFP news agency.

More than 850 people have been killed since the disputed presidential poll.

Another 250,000 have fled their homes in what used to be one of East Africa's most stable countries.

The Rift Valley has seen some of the worst violence since the 27 December election.

On Wednesday, the top US official for Africa, Jendayi Frazer, said there had been "ethnic cleansing" in the region.
 
Kwanza nadhani huyu tunituni wetu Mkapa angejiondoa huko,yeye pia ananuka damu ya wale wazanzibari mwaka 2001,pili bado ananuka damu mbichi kabisa ya watoto na kinamama maskini wanaokufa kwa magonjwa ya kutibika kwa hyuy tunituni na mafisadfi wenzake kuliibia taifa hili changa mabilioni ya shilingi,hana haki iyo ya kupatansiha wakenya.Hili pia ni fundisho kwa kina Mugabe,Museveni na Kiwete kuwa wizi wa kura kulinda maslahi ya wachache ni kuzipeleka nchi zetu kuzimu,sasa ona kenya soon itakuwa kama Somalia...Mungu wasaidie hawa viongoxi weusi angalau wawe na 1/1,000,000,000 tu ya busara ya Mzee Mandela.
 
This is now more serious and actions must be taken imediately.

Hapa sasa hii ishakuwa vita kamili kwani mwendo huu sio mzuri wa kuwauwa viongozi waliochaguliwa na watu ama ya Pakistan yanakuja hata Kenya?
 
Wanataka kuelekea Somalia au Rwanda?

Nilifikiri ulinisoma hapo juu,the country will soon become untawalable,see that oldman with his blood-smeared head and hands purporting to rule the country illlegally and illegitimately, he lacks people's mandate and legitimacy in his so-called "presidency",God's wrath will soon descend upon him...by the way wazungu hapo wanajiandaa tu kuandika ma-theory kuhusu (in-born or inherent?) problems na filures za mtu MWEUSI kujitawala...so frustrating this poor Africa!!!
 
Duh! ndugu zangu, Kenya inaelekea siko, kama mnavyosema!
Nini kifanyike kukomesha mauaji haya?
 
Oh my God, hii inatisha sasa, manake ni mpango kabambe wa kuwamaliza viongozi wa ODM?? yaani hata sijui.. I cant think anymore!
 
Nasikia Kibaki anataka ku level watu ili mambo yawe sawa bungeni but I think they just stirring up things . Kurudia Uchaguzi itakuwa kasheshe kubwa na Kibaki akimwagwa tena wataua ?
 
if AU and UN can't take immediate action then Kenyans can rescue themselves and here i concur with the ideas of Mr Kagame that its time for the army to step in immediatelly to rescue the situation. Otherwise lets wait and see when Kenyans will finish up themselves. Ooh Lord! where Africans are heading to!
 
Mbunge huyo anaitwa David Too, kapigwa risasi na trafik polisi;

Riport ya polisi inadai eti halihusiani na siasa isipokuwa mbunge huyo alikuwa anatembea na Girlfriend wa huyo askari.

Kwa upande wake Raila anatuhumu mauaji hayo kuwa yanalenga kupunguza wapinzani bungeni!
 
Hii ya Kagame kusema jeshi lichukue in ukweli kiasi gani?? Mwenzenu bado sijaipata!!!
 
Hii Thread ya kenya si ihamishiwe kwenye sehemu inayohusika?
(Kenyan Politics)

Kwa nini iletwe hapa kwenye Tanzanian Politics?
 
The police say that David Too was killed in a domestic dispute unrelated to the political crisis but the opposition call it an "assassination".

A local police official says that Mr Too was having an affair with the wife of the policeman, who shot them both.

Kumbe huyu Mbunge alikua mkamuaji! he got what he deserves..
 
Hapa ndo nashangaa hilo jeshi sijui linasubili nini? kwani hii ndo suruhisho la haraka kwa hali iliyopo sasa
 
Back
Top Bottom