Recent content by Judgment

  1. J

    Sio haki vyuo vikuu kuzuiwa kushiriki siasa

    Mkuu hili ulilonena NENO! umekidhi mbele ya wakati
  2. J

    English please! Kwa wataalamu wa kingereza- msaada

    Naomba kusaidiwa ufafanuzi baina ya maneno haya mawili : 1. Repeat 2. Again sijakurupuka ktk kayauliza nimeshayafanyia uchunguzi wa kina nakuta mwishoe ktk matumizi yanaleta tendo la kufanana mf. Ukimwambia mtu -Repeat drawing - Drawing again Tendo linakua la kufanana ndy kusema haya...
  3. J

    Five Star Hotel

    Nkamba uko sahihi bt ukimkuta mtu anaoga chooni na bafu lipo mayb yuko na stress! So far unamtoa chooni kisha humuoneshi bafu there4 akaoge wp? Muelekeze jukwaa ikibidi umtiririshie mapembuzi ya 5 star sisi wengine vwango vye2 ni kwenye "guest bubu" na zile "sisi kw sisi guest house"
  4. J

    Mmeona angan dar muda huu ndege nne za kijeshi zinapita kwa kasi

    Kumbe! Lakini kule mahakamani tumeomba kesi ickilizwe chemba coart
  5. J

    Hivi mama Ananilea Nkya ana mume?

    Nimesha wasilisha kw Mods waache kuuza pombe humu Jf, ona wateja zake mlivyopombeka ktk agenda hii ya Nkya? Kl mtu anaongea kvyake!
  6. J

    Mmeona angan dar muda huu ndege nne za kijeshi zinapita kwa kasi

    Wote kumbe mko nyuma ya wkt ktk ma'B/news! Hizo ndy ndege mpya za ATCL ilikua zifike jana lkn kw 7bu za kiitelejensia tukazichelewesha Source : David's Mattaka wife
  7. J

    Sio haki vyuo vikuu kuzuiwa kushiriki siasa

    Bwa'mdg maliza 1 then next! Unataka chai, chakula cha mchana na ucku at the same tym! Sio utaratibu! Itifaki siyo! Maliza kitabu siasa utaikuta tu! Haina pakwenda.
  8. J

    Sifa za msichana wa kuoa ni zipi?

    Hapa mkubwa umeuliza SIFA hujauliza TABIA kl ki1 ktk hivyo ni muamala tofauti! Khs SIFA ili uzielewe hicho ni ktengo cha chumbani tn Ktandani huko ndy utazijua Sifa timbwiri utakalokutana nalo hapo ndy utajua msichana hucka ana acli ya Mtwara,Lindi,Tabora e.c.t Aidha kw sisi 2lio ndoani haitakua...
  9. J

    Wanaume wanafanya na kujitesa vipi ili kuvutia wanawake kama wanawake wanavyofanya?

    Ni mara ngp 2nawaona wanaume anashinda juani with task work au anakesha gizani uck baridi yake, Mbu wake kw kz ya ulinzi anamlinda mwanaume mwenzie ambapo tajiri ndani yuko juu ya kifua! (hutokea several tyms) then cku anapokea salari anakwnda muhonga dem malaya nusu ya salari au 3 quotar ya...
  10. J

    maajabu ya soka

    Mkubwa hii ime2lia sasa unasubiri nini kushusha anazawan! (another one pl's)
  11. J

    Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

    We Mdada Maria taratibu bac! csemi ucfunguke laa! Funguka ado'ado, huyo Mz umsukumiae midongo wengine Sie mkwe we2! "Baba mzaa utamu na ucngizi wng" usichokoze STONE-WAR wkt unaishi kunako nyumba ya udongo, aidha cna hakika km kimeo unakifahamu vzr, haya ukiulizwa Mz Pinda anamiliki kimeo ki1...
  12. J

    Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

    we mdada! Taratibu, cna hakika km kimeo unakifahamu vzr, haya huyo mz umsukumiae madongo ana kimeo ki1! Ww unamiliki vimeo vngp? Usianzishe STONEWAR wkt unakaa kwny nyumba ya vioo! Huyo mzee wengine sie mkwe we2 "Baba mzaa utamu/ucngizi wng" fanya bac uwe unazimua ukali wa maneno. USHA'NFAHAMU?
  13. J

    Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

    John II ! Th's news we need. Unatushushia v2 vnaeleweka, na ni kwl kw 2lio mbali (km mimi niko Mwz) Mwanahalisi kufika ni jioni, "data with testmon" namna gani inaonesha your parents hawakupoteza mikwanja yao kukupeleka shule! Unaweza ukajiuliza ni kw nini nakupa uzito nna specific means! Jana...
  14. J

    Ungesimama au ungeendelea kukimbia?

    Eee bwnaee biashara hapo kwnz nijiokoe mie ! Nikilemaa nadedishwa! Huyo anaem'ngata my wife c ndy ntakua nimemuachia bingo? Aanze kumsukumia mpini km hana akili nzr! Mi nasevu kwnz, najua my wife ki2 yake ni asset (unmovable) ni km njia ya meli haiachi alama!
  15. J

    Msemo wa Leo....

    Unakodoa mimacho kwenye geji ya mafuta wkt umo humo garini kw kuomba lift ! Inahu...?
Back
Top Bottom