Sifa za msichana wa kuoa ni zipi?

Mzuri wa sura, umbo na tabia. Mwenye upendo kwako na kwa watu wako wa karibu, heshima awe nayo. Anayependa kujishughulisha. Anayejiamini na awe ni mtu wa kutoa mawazo ya kujenga na si kubomoa. Awe ni mtu anayejua kuishi kwa budget. Asiwe mtu wa papara nyingi na kutamani kila kinachopita mbele ya macho yake.
Awe ni mtu anayejithamini na kuelewa nini maana ya utu.

habari yako? Unakuwa mtoto mzuri siku hizi endelea hivyo hivyo
 
Awe na viungo vya uzazi vya kike. Awe ana behave kike kike. Nalog off~washawasha
 
hivyo vigezo vyenu vimeniacha a little bit less confident,,,sijui kupika,sijasoma sina degree,mvivu sipendi kujishughulisha,mchafu sipendi kuoga,..mnh kwa hio ndio niwe mseja for life???sitapata kweli mchafu mwenzangu?:msela:mwenye vigezo vinaendana na mie?
 
soma post yangu. Nadhani utakuwa na hivyo vigezo.
 
hivyo vigezo vyenu vimeniacha a little bit less confident,,,sijui kupika,sijasoma sina degree,mvivu sipendi kujishughulisha,mchafu sipendi kuoga,..mnh kwa hio ndio niwe mseja for life???sitapata kweli mchafu mwenzangu?:msela:mwenye vigezo vinaendana na mie?
Vipi umesharudi Zimbabwe bi dada? Nalog off
 
Wadau,naomba mniambia sifa za msichana anae faa kuwa mke!!

angalia sifa zifuatao...
1. Awe mchamungu(mwenye dini)
2. Awe mzuri( anaekupendeza machoni...it will also depend on ur definition of uzuri)
3. Ukoo wake ( tafuta ukoo ambao unaona unafaa kumix gene na ukoo wako ie mahali pazuri utakapoleka mbegu zako)
4. Mali yake( unaweza pia kumuoa mwanamke kwa sababu ya mali yke au kipato chake au elimu yake au cheo ie waziri, mbunge, eng, au dactari ila jiandae kwa yatakayofuata baada ya hapo)
5. Mwenye tabia nzuri( anweza akawa mchamungu lakina hana tabia nzuri..hapendi watu, ana roho mbaya nad the like...)
6.Mwenye kuzaa.
 
..awe na uwezo wa kuvuka makutano Mandela na Moro road akiwa AMEFUMBA MACHO majira ya mchana..au awe anajua kulia/uchungu na huruma nyingi..
 
hahahaahah
iiisee kwenda kwa dentist is so expensive naomba basi
nifanyie dili kidoncho basi .. hahaah maana hayo yako
yametoka mchicha mchicha....

na wewe unataka kuwa kama CEO wa whitedent?basi anza mazoezi ya kula sukarigulu kilo 50 kila siku kwa muda wa miezi 6 then ndo ntakufikiria..
 
Wadau,naomba mniambia sifa za msichana anae faa kuwa mke!!
Hapa mkubwa umeuliza SIFA hujauliza TABIA kl ki1 ktk hivyo ni muamala tofauti! Khs SIFA ili uzielewe hicho ni ktengo cha chumbani tn Ktandani huko ndy utazijua Sifa timbwiri utakalokutana nalo hapo ndy utajua msichana hucka ana acli ya Mtwara,Lindi,Tabora e.c.t Aidha kw sisi 2lio ndoani haitakua busara 2katoa Sifa za wenza we2! Na ingekua idara hiyo c nyeti mfn mi nikiweka open sifa za my wf wng humu jamvini Jf wote mtanganyikiwa! Alivyo na micfa ya ukweli. Khs tabia nako kuna ugumu wake kuzijua in a 100% coz binadamu jinc umuonavyo silka,hulka,mienendo kw nje au mbele ya pazia c kpimo cha nyuma ya pazia yu'hivyo! Muache binadamu aitwe binadamu! Nawaclisha.
 
heshima, tabia nzuri,anayeji2ma,muwajibikaji kupendana muhimu hamna mwanamke mbaya duniani kila mmoja ana uzuri wake
 
Back
Top Bottom