Hivi mama Ananilea Nkya ana mume?

huyu mama mme wake ni lecturer mzumbe university morogoro anaitwa professor nkya.
 
Nimesha wasilisha kw Mods waache kuuza pombe humu Jf, ona wateja zake mlivyopombeka ktk agenda hii ya Nkya? Kl mtu anaongea kvyake!
 
mwaka jana kama sio juzi alipata tuzo (sikumbuki award ya nini) ila kulikuwa na picha kapozi na ubalozi wa marekani pia familia yake including ndugu zake.... bila shaka hapo ndo pakujua kama mmewe alijumuika!
 
acheni jamani, namfagilia sana, ila mawigi yake du! ya jero jero sijui...! bora achane tu.
 
Back
Top Bottom