Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmeona angan dar muda huu ndege nne za kijeshi zinapita kwa kasi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by menyidyo, Nov 24, 2011.

 1. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,341
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Mm nirubani wa ndege iliyopo mbele.
   
 2. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwahiyo?
   
 3. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Sasa si utwambie mnafanya nini na mafuta yetu huko juu??
   
 4. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  zinazuia mikusanyiko
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,049
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Zinaenda kufanya maamuzi huko(sijui) maana jamaa ameshindwa
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,026
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  ni kikosi kazi 2878. wanafanya mazoezi. wamenipita hapa kwa juu speed maya.wameenda kukata kona zanzibar. watarudi sasa hivi. over
   
 7. M

  Mpaki Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jamani wadau hili ni zoezi linaloendele la Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, kwahiyo msishtuke wanaJF
   
 8. J

  Judgment Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wote kumbe mko nyuma ya wkt ktk ma'B/news! Hizo ndy ndege mpya za ATCL ilikua zifike jana lkn kw 7bu za kiitelejensia tukazichelewesha Source : David's Mattaka wife
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,107
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  mpumbavu wewe, hujui hiyo ni kodi yetu..ngoja al shabab wawaone..
   
 10. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,158
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  hahahaha JF bana!! ati hii nayo ni news alert

  mkuu ulitaka kuandika kwenye facebook status nini ukakosea ukaanzisha uzi JF!!!


   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,107
  Likes Received: 791
  Trophy Points: 280
  elekeeni dodoma...
   
 12. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,341
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ni mazoezi ya maadhimisho ya jubilei ya upumbavu wa watanzania na kuwachapa ally shabibu.
   
 13. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,341
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Dodoma makundi hasama yamekubali kugawana walichoiba na kukaza uzi. hivyo huko hakuna kazi.
   
 14. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,900
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh:) Hii source yako CHIBOKO!!!!!!! Kumbe wife ndiye alikuwa MENEJA MIPANGO NA MAENDELEO ya shirika nini???
   
 15. s

  sawabho JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,125
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Maandalizi ya sherehe za miaka 50 ya uhuru. Haya matumizi ya ndege katika kutoa salaam wakati wa shererhe kama hayakuwepo katika awamu zilizotangulia, nimenza kuyaona miaka ya hivi karibuni au mimi ndiye mtoto wa juzi juzi?
   
 16. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CCM anahusika!
   
 17. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,341
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  nimeshuka!
   
 18. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 5,405
  Likes Received: 687
  Trophy Points: 280
  Wanataka kuwaonyesha wanaharakati kwamba wapo na wapo tayali wakati wowote Rais akiwatuma kazi, kuuwa watu walioambiwa wasiandamane kwasababu watauawa na Al-shabab
   
 19. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,035
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hao wanafanya mazoezi kwa ajiri ya tarehe 9, desemba
   
 20. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,615
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
   
Loading...