Ungesimama au ungeendelea kukimbia?

Ingekuwa mimi ni man, ningesahau nafukuzwa ili nikamshughulikie mgoni wangu!
Ndivyo wanaume wanavyofikiria kuwa wanaweza kula vya watu ila vyao haviguswi lol
Ina maana unakwenda nje kwa kudhani kuwa mumeo naye anatoka? Nalog off
 
hahahahahahah JF kuna mambo kwa kweli
utakuwa mtu mwenye ma mabalaa kuliko
wote kwa kweli . mikosi miwili kwa mpigo loh

Binafsi sijui nita react vipi .....

ukiwaza kidogo Je ni vema kwenda kumpiga yule jamaa na
wakati maisha yako yapo mikononi mwa mtu mwengine.??
Ni sawa na mtu amevunjika miguu huku anawambia mwingine
nikisimama utaona che mtema kuni...
 
Ningeinama niokote jiwe nimtangwe mgoni wangu halafu nikimbie. Nisingekubali nimpite hivi hivi.
 
Eee bwnaee biashara hapo kwnz nijiokoe mie ! Nikilemaa nadedishwa! Huyo anaem'ngata my wife c ndy ntakua nimemuachia bingo? Aanze kumsukumia mpini km hana akili nzr! Mi nasevu kwnz, najua my wife ki2 yake ni asset (unmovable) ni km njia ya meli haiachi alama!
 
Umeona eh! Yaani mabalaa kwa mpigo. Nalog off
 
Ningeinama niokote jiwe nimtangwe mgoni wangu halafu nikimbie. Nisingekubali nimpite hivi hivi.
Hahahahaha yaani ukiinama unakuwa umepunguza kasi na jamaa anaweza kukukamata. Nalog off
 
Eee bwnaee biashara hapo kwnz nijiokoe mie ! Nikilemaa nadedishwa! Huyo anaem'ngata my wife c ndy ntakua nimemuachia bingo? Aanze kumsukumia mpini km hana akili nzr! Mi nasevu kwnz, najua my wife ki2 yake ni asset (unmovable) ni km njia ya meli haiachi alama!
Hahahaha unamaanisha K haina makombo? Nalog off
 
Hahahahaha yaani ukiinama unakuwa umepunguza kasi na jamaa anaweza kukukamata. Nalog off

bora kufa kuliko kumuacha mke wangu akiwa matatani.

Hapo najitoa mhanga kama al-shaabab. Naokota jiwe.
 
Eee bwnaee biashara hapo kwnz nijiokoe mie ! Nikilemaa nadedishwa! Huyo anaem'ngata my wife c ndy ntakua nimemuachia bingo? Aanze kumsukumia mpini km hana akili nzr! Mi nasevu kwnz, najua my wife ki2 yake ni asset (unmovable) ni km njia ya meli haiachi alama!

mkuu, moyo huyo mwenzio sina. Hata hizo nguvu za kukimbia zitapotea ghafla. Sipo tayari kushuhudia my wife akifanyiwa mchezo ninao fanya nae tu. Haki ya mungu bora nife.
 
Hahahaha ukifa jamaa atakuwa anajimegea kisela. Nalog off
 
Back
Top Bottom