Recent content by Jr king

  1. Jr king

    Dar: Simba 0 - 1 Yanga, Ngao ya hisani | Benjamin Mkapa

    Mwenzenu sijalala bado najigongea vyombo....cha ajabu hata sijisikii kwenda kupumzika,......yaani huyu alietengeneza castle lite mungu ampe maisha marefu........yaani haya maji ni matam balaa.
  2. Jr king

    Kesi ya Mbowe, wajuvi washeria watusaidie

    Nchi hii kubwa namna hii tunawezaje kuongozwa na mtu kutoka nchi jirani?hik katiba ni mbovu kupindukia....Au nasema uongo ndugu zanguni..
  3. Jr king

    Kwanini Majaji hawaruhusiwi kujichanganya sana?

    Wao wanagongea vyombo wapi Sasa mkuu.....
  4. Jr king

    Tukumbushane kauli mbalimbali za Wanamichezo

    Naweza kusajiri kikosi chote cha mikia, kuanzia bench la ufundi, viongozi pamoja na wachezaji nikawapeleka coco beach wakarukaruka tu kisha nikawalipa mshahara........Manji akiwaambia makolokolo fc kabla hajapimwa mkojo.
  5. Jr king

    Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

    Sijui bwana hito unaharaka gani kutuletea habali isiyoeleweka......rudi kajipange kwanza utuletee habali iliyonyooka...
  6. Jr king

    Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

    Mijitu mingine ni mbumbu kweli kweli.....ivo kama siku hiyo hakua na ule mguu wa kuku ww ulijuaje?
  7. Jr king

    Upotoshaji kuhusu mizimu

    Hongela sana mkuu....umenifumbua macho,sikujua kama mizimu yetu ina nguvu kiasi hiki! Sasa utatambua kua mizimu yako inataka uiabudu namna gani?
  8. Jr king

    Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

    Hayo malife jacket kwani ni lazima kuyaava? Au president alikua anajiandaa kupiga mbizi.
  9. Jr king

    Mali za dhamani......

    Habalini wakuu... Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada...Ni mda nikisikia kua kuna uhitaji wa bidhaa za mjerumani, hasa pasi.... Je ni kweli pasi hiyo ukiipata ni Mali na soko likoje na liko wapi?..... Tafadhali kama kuna mtu mwenye taarifa kuhusu bidhaa tupatieni maelezo.
  10. Jr king

    Nini sababu ya Hamza kufanya yote haya?

    Huyu Hamza alipokonywa dhahabu zake na mapoliccm.....ndio maana waona baada ya kuwashindilia chuma wale wawili, alikua akiwatafuta wengine.....ktk dunia hii hakuna awezae kukwapuliwa dhahabu akashindwa kujisakirifai,au nasema uongo ndugu zangu? All in all Hamza is Tanzanian hello!
  11. Jr king

    Tusimung'unye maneno Hamza ni gaidi kama " yule" aliyetaka kuua viongozi wa Serikali ni gaidi sembuse huyu aliyeua askari wetu?!

    Huyu kada wa ccm sio gaidi, kwasababu alikua akijaribu kukomboa dhahabu zake alizopokonywa......Hebu jiulizeni,Ni nani awezae kuchukuliwa dhahabu zake akakaa kimyaaa! R.I.P Hamza mungu wa izirael yu nawe daima.
  12. Jr king

    Amri Kiemba yuko underrated

    Nyoko zako we mukuu 123, Geoge Ambangile hapa bongo hana wa kufananishwa.....
  13. Jr king

    Ukweli Kuhusu usemaji wa Haji Manara

    Ngoja waje wenyewe na mikucha yao uone watakavyokuparua parua......
  14. Jr king

    Tuambie jina lako la Burundi unaitwa nani?

    Nkuliyemutwe wuluyige nsanzebhasambila nsanzegwanko....
  15. Jr king

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Hahahaha.....nimeshagegeda kabamedi ndani ya chooo kwenye bar moja kinondoni...pia nimewahi kugegeda stuff mwenzangu store nikiwa job, yaani hii kitu ni balaa..
Back
Top Bottom