Nini sababu ya Hamza kufanya yote haya?

Polisi wanavyojua kulindana hutakaa ulisikie hilo... watatafuta story nyingine watuletee
 
Polisi wafanyie kazi habari zote. Kwamba ni 'msomali' kafuga ndevu inaweza kuwa rahisi kuamin kuwa ni gaidi. Lakini kwamba Polisi walitaka 'kumrusha' madini yake si kitu cha kudharau. Tumewahi shuhudia hayo zamani pia.
Na Yesu pia peace be upon him nae ni gaidi maana nae alikua na ndevu, baba ako kua na ndevu au mwanaume kua na ndevu ni ugaidj. Em kua na akili wewe
 
Huyu Hamza alipokonywa dhahabu zake na mapoliccm.....ndio maana waona baada ya kuwashindilia chuma wale wawili, alikua akiwatafuta wengine.....ktk dunia hii hakuna awezae kukwapuliwa dhahabu akashindwa kujisakirifai,au nasema uongo ndugu zangu? All in all Hamza is Tanzanian hello!
 
Tanzanian HELLO ndo nn au umechanganyikiwa na ww, nyie ndo walewale
 
Tukio la huyu jamaa kufanya haya yote!

Japo ni mkristo nilifika kuchukia wanaosema ni askari!

Na leo mama kasema kama mnaona mtu kuwa na kosa kwanza fanyeni uchunguzi kabla kuleta yote!

Mama kaeleza.

Polisi wanaongoza kupiga dili

Askari michongo, askari sio wahaminifu, askari kutaka maisha na ukweli.

View attachment 1908327
View attachment 1908328
View attachment 1908329

jeshi la polisi kuna kasoro kama wananchi katika maelezo wanaeleza ukweli kuhusu hili.

kumbuka kuna siku mtakimbilia jeshi kuu kwa haya.

japo nilimuachia mungu
Uchunguz uanze kwenye maneno haya ambayo HAMZA amesikika akiyatoa kabla ya kifo chake, yanatisha
 
Back
Top Bottom