Recent content by Joyceline

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hakika Tuache Kupeana Mikono Tunaposalimiana-Yamenikuta

    rudisha avator yako ya zamani
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

    Mpeleke kwenye maombi linaweza kuwa ni pepo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro kortini tena

    tena chenge aliuwa wale wadada wawili akatozwa fine ingekuwa raia wa kawaida angekuwa ndani mpaka leo wanafanya uchunguzi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa abiria wanaopenda kuchukua TAXI airport!!

    Inategemea kuna wakati madreva wanawapa madeiwaka ndo wanaiba, mimi niliibiwa pochi asubuhi na bajaji akakimbia.
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Analazimisha nimuoe wakati mimi sitaki

    Mweleze ukweli kwamba hutaki kumuoa , unasema mlikuwa na uhusiano that means mlishaachana sasa anataka nini tena, kuwa na msimamo wewe ni mwanaume
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Nitakuona Bonge la Mwanamme......"

    Unashangaa watu wanaomba hadi 5000
  7. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    kijijini utapata wapi nyumba za kupanga na shule zilivyo mbali kwanza kwa mshahara gani?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nani mkali wa jUkwaa hili la Picha?

    Mzizi mkavu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    shetani akizeeka anakuwa malaika
  10. J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uchawi Tanzania

    una uhakika Mungu ndo amemuibua?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Uchawi Tanzania

    uko wapi Maji moto umepotea sana
  12. J

    JamiiForums Tanzania MziziMkavu Huyooooooooooo

    Ananipenda kazi yake na kuithamini
  13. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu jamani kuhusu huyu mme wangu

    majibu gani hayo?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Aunty ezekiel, mumewe na wageni wao, waalikwa lunch nyumbani kwa bi salma mgido huko dubai

    sura ya kitoto si ndo mambo ya baby face jamani.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Tukio la kutisha limetokea Lamadi, aliyekufa aonekana akiwa hai...

    Hawezi kuwa mzimu kwa muda mchache hivyo , inachukua zaidi ya mwezi mtu aliyekufa kuwa mzimu
Back
Top Bottom