Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

Pole sana Mkuu, baadhi wameshauri vizuri na experiences zao pia. Zingatia sana upendo sana kwa mkeo, maana wadada huvutwa kufanya hiyo mambo kutokana na upendo wao kwa wahusika, so inaelekea labda kuna vitu ambavyo vimekua vikiendelea vinavyochangia kushuka kwa upendo wake kwako, au ishu nzima ya yeye kutomfikisha anakoenda, so hio inampa kukata tamaa na tendo maana anajua yeye anatumika kama chombo tu cha kukidhi haja zako na yeye anabaki na njaa yake kila wakati, So Mkuu hakilisha naye anafika huku uendako.
 
Kaka Tatizo sio wala chapaaa, nina turn over ya net 8.7mill kila mwezi ana gari yake ya kuzungukia hapa mjini na tunaishi huku tabata maisha sio magumu kivile, hiyo pesa inatutosha sana kwa matumizi ya kawaida

WaJf mimi ni mgeni humu jamvini kuchangia mada, lakini nawakubari sana na nimejifunza mengi kwenu!this issue is very serious for the health of marriage!!

Kaka yamkini kuna tatizo hila mpenzi wako hajafunguka kushare na wewe. Mi nakushauri tafuta muda utoke naye mazingira tofauti na nyumbani ikiwezekana hata mkalate huko hata two days kama hotelini. Jaribu kumuweka karibu na umwambie kila kitu na jinsi unavyojisikia, muulize kimapenzi nini kinamfanya awe hivyo na jaribu kutafuta suluhu la jambo hilo.

unajua wanawake wana tatizo moja akiwa disturbed phycologically basi hata tendo la ndoa kwake ni adhabu! sasa yamkini ana tatizo pengine ni la kifamilia eg. wazazi na anashindwa kukushirikisha, au ni kazini kwakwe! au hapendi the way mnavyoshikiana kindoa, pengine wote sio wabunifu ili kuweza kuwa na style tofauti na mkafurahiana?? na kikubwa ni maandalizi! na maandalizi sio tu pale mnapotaka kudo! no maandalizi ni siku zote mnazoishi hata wewe ukiwa ofc na yeye mnaweza kuchart sometimes vitu ambavyo vinaamsha hisia kwa kila mwenzake na hivyo kumfanya awe na hamu nawe!

Mimi binasfi niliwahi pata hilo tatizo na nikatumia mbinu ninayokwambia! na tulisort out nakwambia nina miaka 16 na ndoa yangu lakini tunaenjoy sana na partner wangu na kila mmoja ana hamu na mwenzie! tumekuwa wabunifu na tunafundisha vile tunavyotaka! tunaongea even during the game ili kuongeza vionjo na tunapeana feedback kwamba ile ya jana ilikuwa bomba hivyo ningependa turudie! au leo tujaribu ingine na tufanyie wapi! so please try and you will succeed!

Pia kikubwa mshirikishe Mungu sana sijui imani yako! ila ninachoamini shetani hapendi ndoa! na mahali pabaya anaposhika ni kwenye tendo la ndoa! si unajua kuna majini mahaba?? sasa dalili sometimes zinaanzia huko na baadaye anatekwa kabisa kwasababu anaridhishwa na hao majini! so be careful mshirikishe na Mungu pia, ombeni kwa pamoja ili naye ajuo kuwa uko serious na hiyo issue kama anaichukulia kimzaha atafahamu. Kila la heri bwana!
 
Khaaaaaaaaaaaa! Iboho naomba uni PM mimi nitakusaidia jinsi ya kufanya, maana hapo kwenye bluu mm nahitaji 1M kila mwezi wala sitaki nyingi. FANYA HARAKA NISIJE NIKAPATA MTU MWINGINE WA KUMSAIDIA.:A S 12::A S 12:

Nimeipenda hiyo....kweli mwaya mchangamkie maana mke wake naona analeta mishauo.
 
WaJf mimi ni mgeni humu jamvini kuchangia mada, lakini nawakubari sana na nimejifunza mengi kwenu!this issue is very serious for the health of marriage!!

Kaka yamkini kuna tatizo hila mpenzi wako hajafunguka kushare na wewe. Mi nakushauri tafuta muda utoke naye mazingira tofauti na nyumbani ikiwezekana hata mkalate huko hata two days kama hotelini. Jaribu kumuweka karibu na umwambie kila kitu na jinsi unavyojisikia, muulize kimapenzi nini kinamfanya awe hivyo na jaribu kutafuta suluhu la jambo hilo.

unajua wanawake wana tatizo moja akiwa disturbed phycologically basi hata tendo la ndoa kwake ni adhabu! sasa yamkini ana tatizo pengine ni la kifamilia eg. wazazi na anashindwa kukushirikisha, au ni kazini kwakwe! au hapendi the way mnavyoshikiana kindoa, pengine wote sio wabunifu ili kuweza kuwa na style tofauti na mkafurahiana?? na kikubwa ni maandalizi! na maandalizi sio tu pale mnapotaka kudo! no maandalizi ni siku zote mnazoishi hata wewe ukiwa ofc na yeye mnaweza kuchart sometimes vitu ambavyo vinaamsha hisia kwa kila mwenzake na hivyo kumfanya awe na hamu nawe!

Mimi binasfi niliwahi pata hilo tatizo na nikatumia mbinu ninayokwambia! na tulisort out nakwambia nina miaka 16 na ndoa yangu lakini tunaenjoy sana na partner wangu na kila mmoja ana hamu na mwenzie! tumekuwa wabunifu na tunafundisha vile tunavyotaka! tunaongea even during the game ili kuongeza vionjo na tunapeana feedback kwamba ile ya jana ilikuwa bomba hivyo ningependa turudie! au leo tujaribu ingine na tufanyie wapi! so please try and you will succeed!

Pia kikubwa mshirikishe Mungu sana sijui imani yako! ila ninachoamini shetani hapendi ndoa! na mahali pabaya anaposhika ni kwenye tendo la ndoa! si unajua kuna majini mahaba?? sasa dalili sometimes zinaanzia huko na baadaye anatekwa kabisa kwasababu anaridhishwa na hao majini! so be careful mshirikishe na Mungu pia, ombeni kwa pamoja ili naye ajuo kuwa uko serious na hiyo issue kama anaichukulia kimzaha atafahamu. Kila la heri bwana!

Nashukuru sana dada, kwakweli nimepata a real constructive advice toka kwenu wanajamvi hili la Jamiiforum, naamini nitashuhudia somedays progress ntakazopata. cheers!!!
 
kaka tatizo sio wala chapaaa, nina turn over ya net 8.7mill kila mwezi ana gari yake ya kuzungukia hapa mjini na tunaishi huku tabata maisha sio magumu kivile, hiyo pesa inatutosha sana kwa matumizi ya kawaida

hama huko!
 
Kama anatumia madawa ya uzazi wa mpango hiyo ndo side effect...tuulize sie tusoyajua hayo madawa...nina 37+ na libido ndio kwanza nahisi linaongezeka daily.
 
Mara nyingi nikitaka kushiriki tendo la ndoa anakuwa na sababu nyingi, mara sijisikii,mara nausingizi, yaani kwa ujumla hapendelei kunipa ninapotaka kuwa naye,
nifanyeje sina ujanja natafuta namna nisiwe na feeling naye tuwe kaka na dadad tu basi.
Inawezekana una perfom chini ya kiwango mkuu,jinoe ipasavyo ili ukimeet nae afike mshindo 2x
am sure on the next day she will be begging for it, otherwise anaona kama unamtia shombo tu
 
Hiyo ndio source ya tatizo...trust me . akikitoa tu wenyewe mtashangaa.

Nina marafiki kibao na ndugu waliokwisha tumia hiyo njia na wote walinambia ikifika usiku walikuwa wanakosa amani...kwani walikuwa wanasikia kama waume zao wanawabaka...toa haraka...better use natural ways na ku enjoy maisha kuliko kuweka hayo mavitu na kupata kwa mgao.

ameweka kipandikizi mkononi,
 
Kaka sijapanga kuwa na mtoto sasa hivi kabisa, tulijaribu hiyo zamani lakini matokeo alipata mimba wakati ambao sio, naogopa sana hiyo natural familly plan,
 
Hilo ndio chimbuko la tatizo...sasa utapima mwenyewe;

Mimi nina watoto wawili na sijawahi tumia uzazi wa mpango...na kati ya hao wawili hakuna aliyepatikana bahati mbaya...jitahidi kuwa na control...mfano wewe unaweza kuwa engineer kwa ku withdraw mkaendelea ku enjoy kuliko kujilemaza kuwa huwezi utapitiwa....sasa chagua upate mgao au ujifunze kuwa na control wakati wa sex.

Kaka sijapanga kuwa na mtoto sasa hivi kabisa, tulijaribu hiyo zamani lakini matokeo alipata mimba wakati ambao sio, naogopa sana hiyo natural familly plan,
 
usisikilize ushauri wa kuwa na NYUMBA NDOGO! hiyo iso suluu ya tatizo lako! tatua na mkeo mtashangaa mlikuwa wapi siku zote!! nyumba ndogo ni kuongeza matatizo na yale ya mkeo ni kwamba umeyaahirisha tu...pole ila dawa ipo kabisa! pia usijump to the conc kwamba ana mtu anayemridhisha ndo maana yuko hivyo! in many cases wala ni psychological prob tu! pls take it serious! usiseme unatafuta dawa ili usiwe na feeling na mkeo! sasa kama sio mkeo nani?? na kama utaacha kuperform unadhani utakuwa normal??? chukua hatua haraka! all the best kaka!
]
 
Mara nyingi nikitaka kushiriki tendo la ndoa anakuwa na sababu nyingi, mara sijisikii,mara nausingizi, yaani kwa ujumla hapendelei kunipa ninapotaka kuwa naye,
nifanyeje sina ujanja natafuta namna nisiwe na feeling naye tuwe kaka na dadad tu basi.
Njoo kwangu utachotaka ntakupaaa,hata bao 10 kwa mpigo tena zilizoenda sconga
 
Mara nyingi nikitaka kushiriki tendo la ndoa anakuwa na sababu nyingi, mara sijisikii,mara nausingizi, yaani kwa ujumla hapendelei kunipa ninapotaka kuwa naye,
nifanyeje sina ujanja natafuta namna nisiwe na feeling naye tuwe kaka na dadad tu basi.
Hakupendi anza
 
ameweka kipandikizi mkononi,

OH NO!NOT AGAIN!
MWAMBIE AKATOE FASTA!watoto hata mkizaa mia ni wenu!and by the way mnaojua kuconect link hebu niwekeeni ule uzi wa madhara ya njia za kisasa za uzazi wa mpango!please guys mi sijui kuwela link!lakini akiusoma ule uzi atajifunza vitu ving vya kumjenga na kuona wenzie umetugharimu mangapi!
 
Mara nyingi nikitaka
kushiriki tendo la ndoa anakuwa na sababu nyingi, mara sijisikii,mara
nausingizi, yaani kwa ujumla hapendelei kunipa ninapotaka kuwa naye,
nifanyeje sina ujanja natafuta namna nisiwe na feeling naye tuwe kaka na
dadad tu basi.

Mshauri aje jf online ... tutampa ushauri moto moto ... sure mambo yatanyooka!
 
Back
Top Bottom