Aunty ezekiel, mumewe na wageni wao, waalikwa lunch nyumbani kwa bi salma mgido huko dubai

Unaweza ukakuta ni mke wa pili huyo, usicheze na wazee wa punje. Wanashangilia hapo kaoe halafu wao wa kwanza kumbanjulia mke
Mimi Labda aje Mkalimani wa picha, maana mpaka sasa hapo sijaelewa kitu kabisa. Naona ni Genge tu la wasanii wanakamilisha Sanaa yao. halafu usikute hiyo nyumba iko Sinza hapa tunaambiwa wako Dubai, bado najiuliza hawa kina Rey na JB nani kawagharamia ticket? kwanza huyo mtoto ni nini source of income yake?
 
hii harusi haikihudhuriwa na wazazi?wakaona kuliko wawapeleke wazazi wao ni bora wawakokote hao wasanii wenzao? kazi kweli

Hiyo siyo harusi mie nashangaa hakuna hata mzazi wasanii tu ndo watoke TZ?? Hii ni movies kabisa hata mjomba, shangazi, mama na baba hata wa upande wowote no way hii sijaikubali mtakuja kuona hiyo movie after some months nawaambia...........
 
bw harusi wetu sijui ni aibu ama, umeona mapozi yake?
 
jamani nina ham ya kuolewa,lkn kwa hapa hapana!labda km ni move,....km lov ni blind au ndo haraka ya kuolewa bac bana!mbona hyu kijana/mtoto/mume simuelewi!?aunty weeee,mweeh!
 
hii harusi haikihudhuriwa na wazazi?wakaona kuliko wawapeleke wazazi wao ni bora wawakokote hao wasanii wenzao? kazi kweli

Uzi unasema,bi harusi na mumewe +wageni waalikwa huko dubai!hope haikuwa harusi labda walienda kutembea baada ya harusi
 
jamani huu uzi umenichekeshaaaaaaaa! watu mmeongea mpaka kilugha, lol! kaaz kwel kwel! ila huyo demonte mie hoiiiiiiiiiiiiiiiii!! labda akilishwa na kupikiwa atapata mwili, kweli pesa huhamisha milima!
 
Uzi unasema,bi harusi na mumewe +wageni waalikwa huko dubai!hope haikuwa harusi labda walienda kutembea baada ya harusi

lakini Christine, niliona pia pics za harusi sikuona wazazi zaidi ya hao wasanii ndio mana nikauliza mana wangekuwepo nadhani kwenye huu mwaliko pia wangekuwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom