Recent content by josephat nterulla

  1. J

    JamiiForums Tanzania USA vs N.Korea Military Power

    hii kichwa ngumu
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tumehuisha kampeni ya kumdai Ben. Tumefanya mkutano na waandishi wa habari leo

    To late after six months any way God is possible
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aanza chokochoko na Tanzania kuhusu ziwa Nyasa

    mwabieni mkuu kashavurugwa kitawaka moto
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

    Watu hawapendi maendeleo ya wote wanapenda ya mtu mumoja ndo maana hawana cha kuzungumuzia wameona wamuchafulie kwa mulango wa nyuma
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nampongeza,kumtia moyo na kumuombea kwa Mungu Mh.Tundu Lissu

    blaa blaa sitaki kusikia
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya kitaalamu kuhusu uchenjuaji wa mchanga wa madini

    Zahabu wanachukua na mchanga hii haiwezekani
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja

    Nyinyi munaponda walichofanya wenzenu to a mfano hats kwa kujenga hospital ruzuku zote zinaenda wapi mpaka ofisi munajenga Leo sembuse kuchukua nchi mpaka mukamalize kujenga nchi nzima mtabaki kupiga makelele tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda; Kutoka viroba mpaka makontena ya mchanga

    Nimesoma comments zenu mumenukuu tofauti yeye alisema hakuna kusafilisha mchanga nje ya nchi ndo alienda kama kweli yapo siyo kayakamata tutangulizeni uzalendo munajenga chuki bure
  9. J

    JamiiForums Tanzania Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

    Mungu ailaze mahala pema amina
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazungu hawawaamini CHADEMA na Upinzani wa Tanzania kwa ujumla?

    Upizani hamuna maneno mengi na mzungu hataki maneno mengi kwanza anakupa dakika kwa mfano dk5 hujaongea kitu chochote
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sasa mbona ananisumbua?

    Hapo usije ukaludia kosa Dada yangu bora kuanza maisha mapya tu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Waarabu watu wabaya sana sana Mimi nawaona sana pamoja na wahindi si watu wazuri
  13. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni kama British Empire: Inabadilika na wakati, haifi ng'o!

    Ccm haifi Leo wala kesho kwa sababu upizani hauna sela mfano Mzuri mwaka juzi chadema walikuwa na sela nzuri sana lakini ccm ikatabua Mapema lowasa akakimbilia chadema nao wakakubali wakawa hawana sela tena maana ilikuwa ccm fisadi Leo fisadi unamukalibisha kwako kuishi utakuwa na sela ngani ndo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Naelekea kuamini sasa kuwa ajira hazipo kabisa

    Mutengemea cha ndunguye hufa masikini mwafaa
  15. J

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Gwajima nina wasiwasi na wewe

    Frimasoni
Back
Top Bottom