yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Wana jf:
Bila kupapasa maneno ni kweli kwamba serikali sikivu ya awamu ya tano imekosa ajenda za kitaifa badala yake chchote kuvaliwa
Siku za hivi karibuni ajenda kubwa ya kitaifa baada ya dawa za kulevya ilifata viroba kwa ivi naona kwa mbali """ MAKONTENA YA MCHANGA"" inaingia sokoni kwa fujo zote """ nawaza tu kwa sauti. Ivi ina maana kabla ya rais Magufuli kwenda bandarini na kubaini kwamba kuna makontena ina maana mamlaka husika hawakwepo??? Kwaiyo wanaamaanisha tuwape pongezi ya kubaini makontena zaid 262 kurasini kwa kazi ipi ?? Badala ya kuwajibika????
Tuwe makini.