Sasa mbona ananisumbua?

Sasa mbona ananisumbua?

Ushawai ckia mjaasir anaacha asili... Kackia unapesa ndo maana anataka kukurudia Dada uckubal kabisa aina hyo ya wanaume ni mazuzu kabisa
 
Siwez kurud mkuu
no retreat no surrender.....songa mbele na maisha yako ....fanya kama ilikuwa story iv halafu kitabu kikaungua moto ko hakuna kumbukumbu zilizobaki kickwan mwako...ila nyie wanawake amuelewekaki utakuta si tunabwabwaja hapa mara kesho umerudiana nae...kazi kwako sasa!!!! kwa maumivu hayo usirudi nyuma
 
Achana naye. Ishi kama ulivyoishi hiyo miaka yote aliyokuacha. Hapo kwako anatafuta mali hakuna MAPENZI YA DHATI.
 
ila dada yote aliyokufanyia huyo mwanaume kweli una hamu ata ya kuja kumwanzishia thread uombe ushauri ww bado unampenda huyo jamaa kazi kwako
UMENIWAHI MKUU bila kumung'unya maneno mtu huyo ni muuaji kwako ukimrudia haki ya Mungu anakuua kama si kukufirisi mali zako...hana kingine anachokihitaji kwako zaidi ya mali zako...kuhusu mtoto mwambie amfuate baba ake wewe si ndio uliye mzaa kwanini mtoto wako akushinde maarifa...?
 
Back
Top Bottom