kdom
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 238
- 146
Jamani naelekea kuamini sasa kuwa ajira hazipo kabisa na kwa mtu ambaye hafanyi kazi ati anasubiri ajira namuonea huruma sana maana unaweza kufa masikini kwa ahadi hizi za viongoz wetu, waziri kairuki katika bunge liliopita alipoulizwa swali na mh. Hawa ghasia kuwa ni lini serikalini itaanza kuajiri alisema kufikia mwezi march serikal itakuwa imeshatoa ajira that means ilitakiwa zitoke mwezi wa pili ili mwezi march watu wawe kazini tayar hususani walimu wa sayansi maana tayar serikal imeshatoa kibali hivyo hivyo.
Majaliwa akiwa ziarani mkoani manyara alisema hivyo bt wonderful enough hadi sasa hakuna dalili zozote kitu kinachopelekea wahitimu hawa( 2015) kukosa hata sehemu za kufanya temporary work (kufundisha) maana kila ukiomba unaulizwa umemaliza mwaka gani if ni 2015 wanasema subir serikal ipo mbioni kuajiri,na kwa ahadi hizi za uongo tujiandae kuwa na taifa lenye watu wengi wenye matatizo ya kisaikolojia, magonjwa ya moyo n.k.
Ushauri wangu kwa wizara zenye dhamana hebu jaribuni kuweka wazi suala hili maana kiukwel mnatuchanganya sana ikumbukwe kuwa mwishoni mwa mwez Nov mliagiza tutume vyeti kwaajil ya uhakiki kwa mbwembwe zote tena mkatupa siku chache tu na uhakiki ukafanyika then after tunaona kimya ni bora mseme ajira hizi hazipo ili angalau hata waajir wengine wajue japo tuweze kupata hata vibarua maana matamko yenu yanasababisha tukose hata private school.