Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Pamoja na juhudi zote wanazofanya mchana na usiku kujaribu kuwapata Wazungu wawe upande wao lkn bado Wazungu hawawaamini chadema kabisa, sasa ni kwa nini?
Izingatiwe kwamba Afrika nzima vyama vya Upinzani karibia vyote huwa vinasikilizwa sana na Watu wa Magharibi, yaani mara nyingi nchi za Magharibi huwa upande wa vyama vya Upinzani lkn kwa hapa nyumbani ni tofauti, sasa ni kwa nini?
Mbowe, Tundu Lisu &Co. walifunga safari kwenda Bara Ulaya karibia mwezi mzima na kutuma video clips kwenye Mitandao ya Kijamii hapa wakitoa lectures kwa Mzungu kwa maneno yao jinsi wanavyonyanyaswa na Serikali hapa nyumbani na kwamba Serikali yetu inateka, kukamata na kufunga Wapinzani wakati huo huo Ben Saanane akatoweka, wakarudi Nyumbani, lkn hakuna feedback ktk kwa Mzungu!
Kila siku wanashinda Balozi za EU na USA kuichongea Serikali yetu, Mzungu kimya anapotezea, ukiachilia marudio ya Uchaguzi wa Zanzibar Mzungu hajawahi kongelea chochote dhidi ya Serikali yetu licha ya kwamba chadema hushinda huko wakitaka Ubalozi wa USA useme kitu, hata Maalimu Seifu naye kaamua kutulia zake na kukata mguu kwenda kwa Mzungu kushitaki!
Sasa kwa nini chadema hawana credibility kwa Mzungu kama Chama Kikuu cha Upinzani? Hii siyo kawaida kwa nchi za Kiafrika, na msiniambie kwamba hamuwafagilii Wazungu kwani ukweli ni kwamba mnajaribu sana wawe upande wenu lkn hamna credibility!
Mbowe (pichani) akishitaki kwa Mzungu huko Dodoma, lkn Mzungu kampotezea!