Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Rais Magufuli angalia kuna bao utapigwa

Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Unaona mbali kijana
 
Nimekudharau sana wewe Ajuza!Serikali ilihangaika usiku na mchana ikivuka mito,milima na mabonde kutafuta walau mifupa ya "Mtakatifu Faru John" na ikapeleka hadi sampuli zake nje ya nchi,lakini imeshindwa hata kuichunguza miili ya watu waliozikwa kwenye Sandarusi pale Mto Ruvu.

Msianze kukimbia kivuli chenu,mauaji na kutekwa kwa watu ni utekelezaji wa kauli ya vitisho ya "kumpoteza MTU ndani ya dk.5". Huyo unayemuhimiza alikuwa ni sehemu ya serikali hii hii zaidi ya miaka 20 iliyopita,alifanya nini kupambana na ubadhirifu mbali na yeye kufanya ubadhirifu katika eneo alilokuwa anahudumu?Au hujuwi kuwa kivuko kibovu na uuzwaji wa nyumba za serikali ni Kazi ya mikono yake?

Acha kujipendekeza,hukumsindikiza kuchukua fomu.

Nilimsindikiza kuapishwa
 
Magufuli baba piga kazi wacha kuyumbishwa na walalahoi....." watu wote wanaolia maisha magumu ni wale waliokuwa wanapata fedha zao kwa njia isiyo sahihi.. sasa umebana mianya yote wanatokwa na mapovu" chapa kazi baba watanzania makini tupo nyuma yako...
 
Mleta mada maoni yake yamejifunga hayana hoja zenye mashiko..anaonekana ni mtu wa kujipendekeza
 
Bora ufe kuliko uishi kwa style hii ewe mtoa mada yakipuuzi
 
Naandika hapa nikiwa na hasira [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Rais imarisha ulinzi nchi nzima wape oder wakuu wote wa ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote nchini kuna dalili mbaya ndani ya nchi hii yote haya ni juhudi zako za kupambana na mafisadi,wauza unga nk....
Rais kuna mchezo unachezewa usiyumbe tena kuwa mkali zaidi ya hapa
Wanamikakati wa madawa ya kulevya na wapiga dili wanataka kuitumbukiza nchi hii pabaya

Nakushauri nakushauri angalia sana sinema zinazotengenezwa na watu wanaojiita matumbo mapana siamin roma kama katekwa wala nini hii ni mbinu kama ile ya ben sanane

Be Care Baba J
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Wee unahabari kuliko vyombo vya usalama ?! Tuondolee porojo zako hapa !!
 
Kwa Mambo yanavyokwenda kwa sasa ni JPM kuchukua maamuzi magumu Kwa Tanganyika kwani tumeshakuwa taifa la kambare kila mtu ana nduvu si mama,baba mpaka watoto wote tuna ndevu

Ni wakati wa JPM kufyeka masharubu yetu leo mpaka viongozi aliowateua wamsaidie kazi kazi yao kushinda mitandaoni tu na kuanza ku like na kukomenti tu aiwezekani leo wameshafikia mpaka kuanza kulike post za muharifu Mange tena Waziri mwenye dhamana ya kupambana na waharifu.

JPM uwezo huo hana kinachoendelea ni usanii tu

Nashangaa ameshindwa kumtumbua bashite
 
Back
Top Bottom