Recent content by jomuka

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni wanaume wote tunachanganyikiwa na mkia??

    Kama unataka nyama yenye mafuta mengi mkia wa kondoo utakuchanganya.
  2. J

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Flat screen inauzwa TShs 200,000/= tu

    Ya kwako na ina risiti ya TRA?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kibaya Wema Sepetu kafanyiwa(mtazamo wa jicho la tatu)

    Hakuna aliye thibitisha kuwa ana mimba, ni kutafuta umaarufu tu na matangazo ya biashara.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wadau wa viwanda vya Mifugo

    Hujaeleweka! Viwanda vya mifugo, viwanda vya kuzalisha mazao ya mifugo, au viwanda vya kusaga na kuchanganya chakula cha mifugo?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

    Ni uzuri upi unaotakiwa?
  6. J

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Andika barua ya "kuomba kubadilishana kituo cha kazi", eleza daraja lako la Ualimu. Peleka Manispaa unayotaka kuhamia, wataitundika kwenye mbao za matangazo. Barua ueleze jinsia, anuani, namba za simu, email nk.
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina hisia zozote naye za mapenzi ila yeye ananipenda, nifanyaje?

    Mpende akupendaye. Ukipendwa usipopenda, ukija penda hutapendwa.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kufuga kuku

    Habari wanaJF wote,Heri ya mwaka mpya. Mimi ni mjasiliamali natamani kufuga kuku wa kisasa na kienyeji kwa ajili ya biashara. Naomba ushauri au msaada wa kupata namba ya simu ya group ya wafugaji, website, email na kadhalika, ili niweze kuwasiliana nao kwa ushauri na maelekezo.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wakati CHADEMA wakizidi kuimarika, wapi Wassira, wapi Slaa?

    Tusihofu. Tutakuwa naye kwa nguvu kubwa, kwenye chama kikubwa mwaka 2020.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa Mnyika: Atumia Pesa Yote ya Mkopo wa Gari Kufanya Uwekezaji DSE

    Sijaelewa! Ina maana wabunge wametakiwa kutumia Fedha za mikopo ya magari kwa maendeleo ya wapiga kura wao??
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kufilisika yamtanda Lowassa, adaiwa kushindwa kulipia kodi ya Pango PPF Tower

    Why do you care about others lives, while yours is troubled
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mayai trek 10 kwa siku yanahitajika.

    Weka namba yake ya simu
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kutamani wafiwa hakufai!

    Ni kweli bwana
  14. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno moja tu la upendo kwa Padri wenu mtarajiwa

    Bwana awe nawe daima
Back
Top Bottom