mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
Hizi ni akili za hapa na paleHupendi au?
Hizi ni akili za hapa na paleHupendi au?
Kama David Kafulila, Wenje, na Marcus AlbanosSelemani msindi alishinda kwa kishindo
Chagalism inaendelea
Itakusaidia kupata usingiziNackia kuna binti was cdm aliiba kura za mzee wetu. Ndiyo maana amefungua pingamizi mahakamani kudai "haki" yake.
Kumbe theory yako hapa ni "Itakuwaje?" Nami nakuambia Itakuwaje kama unavyofikiri sio?Vijana wengi wa CHADEMA wana shida hii ya kuelewa kuhusu 'umdhaniaye ndiye mara nyingi huwa siye...na umdhaniaye siye huwa ndiye',they're very slow to learn anything, Laiti wangejua kwamba mazingira ya siasa za Kiafrika kiongozi wa chama kikuu cha upinzani akiwa pia mfanyabiashara anakuwa ktk uwezekano mkubwa wa kutumika na serikali ya chama cha tawala kwasababu kubwa mbili🙁1) mfanyabiashara anaweza kuzigeuza siasa kuwa jukwaa lingine la kimapato(2)mfanyabiashara anapenda kupata faida kubwa kubwa,faida kubwa wanazozipata mara nyingi hutokana na fouls wanazozicheza kama vile kutolipa kodi, kufanya biashara nyingine zisizo halali.Mara nyingi utakuta serikali wanafahamu mambo yote haya hivyo yanayofanywa na viongozi hawa wa vyama vya upinzani ambao ni wafanyabiashara lkn utakuta hawawachukulii hatua za kisheria kwakuwa wanatoa ushirikiano kwa chama tawala.Je,Wana CHADEMA mliwahi kujiuliza kuhusu hilo?mnakimbilia kumwita Dr Slaa msaliti,itakuwaje siku mkijua kuwa kumbe mnayemwita shujaa wa CHADEMA ndiye msaliti mkubwa dhidi ya harakati za kuiondoa CCM madarakani?itakuwaje siku mkija kujua kuwa ujio wa Lowassa upinzani ulikuwa sehemu ya mkakati wa chama tawala kuvihujumu vyama vya upinzani na kujihakikishia kurudi madarakani?just thinking!
cdm imedhoofu wewe. chama kuimarika sio wingi wa viti bungeni tu. kuacha dsm ambapo edo aliweka mtandao binafsi na pia hasira za wapangaji wa mabondeni etc. cdm imebakia chama cha kilimanjaro na nyumbu wa mgombea wao urais. wamechukua viti vyote moshi na vya wafugaji wa kimasai isipokua ngorongoro. cdm imegeuka chama cha makabila mawili badala ya kitaifa. ndio maana cdm sasa ni kupinga tu kila kitu kwani wanasimamia agenda ya ovyo.Mkuu,,unaroho ngumu sana! Kumponda Slaa kunahitaji uwe huna akili! Una roho ngumu sana kwakweli sijui kama.
Kuna post yangu moja ya mwaka jana ngoja nikutag uone nilichoandika juu yakeNi kweli kwa yeyeyote mwenye taarifa naye atujulishe ili angalau tujue mzee wetu yuko wapi ikiwezekana tumwalike siku moja aje aone maendeleo yetu
Twambie wewe ni kiongozi gani wa cdm ambaye halipi kodi tumjue hapa hapa
Mabehewa za 3rd ya TRL ya sasa ni comfortable hivyo ile shughuli mtu ataianzia Dodoma mpaka kwenyewe, ha ha haTreni hiyoooooooo
Soma wewe utufundishe,nimekwambia tueleze hao viongozi umeshindwa kuwasemaSomeni vitabu vijana,fuatilieni siasa za nje ya nchi yetu ili mpanue ufahamu wenu,mkifanya hivyo mtaweza kujua viongozi bomu na viongozi bora wa vyama vyetu vya siasa. Kuna huu msemo uwahusuyo wapendanao usemao 'the one you trust so much is the one who will hurt you so much'.
Hii inathibitisha kuwa ACT ni taasisiHata huyo mbunge mmoja wa kigoma shukrani za kipekee kabisa ziende kwa Anna Mgwira, bila yeye act inge angukia pua