Neno moja tu la upendo kwa Padri wenu mtarajiwa

bonem

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
235
55
Mna amani katika mahusiano yenu? neno moja katika jumapili hii kwa ajili ya Padri mtarajiwa please. muwe na amani. Nawapenda nyote katika yote. urafiki mwema
 
Wewe ndo padri mtarajiwa? Ila mapadri wa siku hizi siwaelewi kabisa...wanashindwa kuvumilia lile sharti gumu walilopewa.
 
Wewe ndo padri mtarajiwa? Ila mapadri wa siku hizi siwaelewi kabisa...wanashindwa kuvumilia lile sharti gumu walilopewa.

Wewe mwenyewe umekiri kuwa ni sharti gumu. Unawashangaaje sasa likiwashinda?
 
Wewe mwenyewe umekiri kuwa ni sharti gumu. Unawashangaaje sasa likiwashinda?

Wamejiwekea wenyewe sio mimi niliowalazimisha. Kabla hawajaingia upadri wanaelewa kabisa. So kukubali kuwa wataweza kuvumilia hlf wanakuja kushindwa mbeleni ndo nawashangaa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom