Recent content by jolyjoly

  1. J

    Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

    Hapo gogo ndio kuna story hizo kweli tuelekeze tukapate vyanzo vya habari
  2. J

    Babu Tale alimtelekeza Chidi Benz sobber house - Mkuu wa kituo

    Sio kweli hizo habari ni mkuu gani wa kituo aliyetoa habari hizo? Tusimpakazie mkuu wa kituo wakati hajawahi kuongea na mtu yoyote.hata yule msaidizi wake aliongea na waandishi wakaandika wanavyojua wao.lkn kalapina akalitolea ufafanuzi kua hakutoloka alikwenda kuchukuliwa kumalizia project...
  3. J

    Taarifa Kuhusu Mama Maria Nyerere si za Kweli

    Taarifa hizo sio za kweli ni uzushi tu
  4. J

    MZEE WA HUMMER: Nyundo nyingine

    The bold lete ushahidi hatulali
  5. J

    Usafiri wa UMMA Nairobi wazidi kuvutia abiria-wakati Dar ni kero tu!

    Watanzania wao mabango ya waganga wa kienyeji kili kona wakenya wao mabango ya vyuo vya kujifunza matumizi ya komputa,sisi siasa tu.wakati wa rwanda kila jengo refu lazima liwekwe wi fi wezetu wengine watatupita sana,kwa matumizi ya internet, Source: BBC === Kenya: 200 Matatus Go Digital...
  6. J

    Maelezo toka kwa Meya Jerry Silaa

    [QUO]tatizo siosheria tatizo nyie wanasiasa mtaalamu akitoa ripoti yake,wanasiasa mnaanza kumpigia simu,waheshimiwa ndio kinawapa kiburi cha kufanya atakavyo mjenzi,leo wanasurubiwa wahandisi wanasiasa wameachwa,kuna kiwanja cha jiji ktkt na jaymall nasikia kunashinikizo la kuuzwa,haya shule ya...
  7. J

    Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

    Mimi napenda kujua kwa mwenye habari zinazohusu kesi ya uhain ktk miaka ya tisini na kifo cha komando tamimu kilitoke vp mwenye kujua aniabarishe hapa jamvin
  8. J

    Nadharia ya Usalama wa Taifa (TISS) ibadilike kuanzia sasa, Taifa lipo hatarini

    Wanaopayuka walevi wakawaida hawahusian na tiss na tena hawajui lolote tiss ipo makini
  9. J

    Mpoto kugombea ubunge

    Mpoto hafai hata ukatibu kata anawasema wenzake yeye nae vilevile.amenunuliwa na wakenya akaukana utanzania kwa ajiri ya pesa.leo akipewa ubunge si atawauza wananchi wa jimbo lake? Njaa tu huyo inamsumbua hana uzalendo
  10. J

    Ya Manumba Ni Zaidi Ya Malaria!

    Jaman tushajiandaa kisaikolojia sasa
  11. J

    kama kweli we dereva litoe hapo....

    Lilivyoingia ndio litakavyotoka
  12. J

    Mume wa ofisa wa Takukuru ampa jukumu Dk Hoseah

    Nakubaliana na wewe mojakwa moja wameingizwa sehemu nyeti kwa vile watoto wa vigogo kwanza hawajapita hata mgambo nn jkt zaid wamepewa semina tu,hawajui hata kutumia silaha na kitu cha kwanza wakifika sehemu wanataka wajulikane wao wakina nani,kumbe hiyo ni silaha ya mwisho kwa waliokuwa enzi...
  13. J

    Jamani wapi zipo office za tpdc mikocheni

    Km unakuja na basi telemka sayansi alafu panda bajaji ukiwaambia watakupeleka njia ya rose garden ni hapo ndio usahil unafanyika km maelekezo uliopewa,na sio ofisi za posta
Back
Top Bottom