Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,108
- 2,553
magamba wamezoea kuwatumia watu maarufu kutafuta kura hata kama umaarufu wao ni wa hovyo. kuna wakati walimvalisha marehemu matonya sare za magamba na kutembea naye mitaani kuomba kura kwa omba omba wenzake kwenye mitaa ya morogoro!