Kesi ya uhaini na kifo cha Komando Tamimu

jolyjoly

Member
Sep 30, 2012
24
4
Mimi napenda kujua kwa mwenye habari zinazohusu kesi ya uhain ktk miaka ya tisini na kifo cha komando tamimu kilitoke vp mwenye kujua aniabarishe hapa jamvin
 
pitia archives za JF utapata elimu yote maana lilijadiliwa sana tu kitambo kidogo lakini hata sasa kuna current topic ya issue hizo jukwaa hili hili!

Jitahidi kabla hamjaanzisha mada mnafukua humu kwanza kuona kama hiyo topic ilishajadiliwa.
 
Mimi napenda kujua kwa mwenye habari zinazohusu kesi ya uhain ktk miaka ya tisini na kifo cha komando tamimu kilitoke vp mwenye kujua aniabarishe hapa jamvin

Kwa kifupi sana KOMMANDOO CAPTAIN MOHAMED TAMIMU aliuawa na usalama wa taifa kwa kupigwa risasi na mmoja wa maofisa hao aitwaye Mabere Marando kwakuwa alikataa kukamatwa na akarukia kwenye gari ilIyokuwa imebeba creti za bia kisha akaanza kuwapiga nazo nao kwa kujihami wakampiga risasi na akafa palepale.
 
Japo Walimuua Lakini Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Nyerere ALIWALAUMU KULIKOTUKUKA Kwanini Walimtoa UHAI Kwani Kama Sijakosea Huyu Marehemu KOMANDOO TAMIMU Ndiyo Chachu Ya Watanzania Wengi ( Wanajeshi Wetu JWTZ / TPDF ) Kupewa KIPAUMBELE Na UMUHIMU Mkubwa Kwenda Kufanya KOZI Ya UKOMANDOO Kwa Wanaojua Nchini Cuba. Kazi Aliyoifanya TAMIMU Pale Uwanja Wa Ndege Wa Zamani Wakati Rais Fidel Armando Castro Alipotua Na Kumtaka Nyerere AMTAFUTE ASKARI WAKE ANAYEMWAMINI Ili Ampime Ndiyo Ilimfanya Marehemu Komandoo TAMIMU Akubalike Na Apendwe Na Mzee Castro Hadi AKAMWOMBA Nyerere AMPE Afande TAMIMU Tu Kwa MAKUBALIANO MAALUM. Kwa WALIOMJUA Afande KOMANDOO TAMIMU Huyu Jamaa ALIKUWA Ni Zaidi Ya Akina Carlos The Jackal Na Che Guavara Huku Akitaka Kumkaribia FIELD MARSHAL Mwenyewe Rais Mstaafu Wa Cuba Mzee Castro.
 
Hahahahaaa popoma katika ubora wako.
Hivi kuna habari usiyoijua kweli?
 
Ndo maana mabere ana macho mekundu sana,kumbe alishaua mwanamapinduzi,,

Kile kitengo chao kipindi cha Nyerere kulikuwa Hatari sana wao ndiyo walikuwa wakikamata watu na kuwaweka kizuizini, walikuwa wakitumwa kufanya kazi wanafanya kwa kasi ya ajabu hata yule Mlinzi maalum Marehemu Lt kanal MWANGOTA alikuwa shubavu na komandoo wa Ukweli haijapata kutokea ni tofauti na walinzi wa sasa ambao wao wanalinda kwa kutumia tekinolojia digital.
 
Back
Top Bottom